Makapuku Forum

Makapuku Forum

[emoji524]KUTOKA 14

13 Musa akawaambia watu, Msiogope, simameni tu, mkauone wokovu wa Bwana atakaowafanyia leo; kwa maana hao Wamisri mliowaona leo hamtawaona tena milele.
14 Bwana atawapigania ninyi, nanyi mtanyamaza kimya.
15 Bwana akamwambia Musa, Mbona unanililia mimi? Waambie wana wa Israeli waendelee mbele.
16 Nawe inua fimbo yako, ukanyoshe mkono wako juu ya bahari, na kuigawanya; nao wana wa Israeli watapita kati ya bahari katika nchi kavu...

SIKU NJEMA WAPENDWA[emoji7][emoji7]
 
Amen, nawe pia siku njema Ubarikiwe sana
 
[emoji120][emoji120]
 
Back
Top Bottom