Makapuku Forum

Makapuku Forum

ae4c76882bc3a229e5505b5e20eda120.jpg
 
Bhasi bwana yakawa masaa ,dakika na hatimay sekunde kukawa kumekucha salama kama anko alivoamshwa uku mapema sana ananiomba assist ya kunywa mchemsho wakat jana kanikwepa tulipanga tusindikizane kwenye koloni ila akawa mjanja ....ona sasa mpaka nasahau kukusalimia kapuku mheshimika kwa upuuzi wa anko ....UF iko around

Ha ahahhahahaha!
...umeamka salama anko? Nimeamka poa kabisa, nashukuru. Hiyo assist najua utaifanikisha kwenye bakulutu leo maana uliahidi.
 
Asubuhi Njema Makapuku, na mjue nini, leo ni furahiday. Tuwe na asubuhi nzuri na mwanzo mwema wa weekend. Enjoy the music, be romantic and parrrrty responsibly na kama huna mmoja usisahau kucondomize mkikandamizana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom