Makapuku Forum

Pole na majukumu ya leo unapojiandaa kupumzika tafadhali imba wimbo huu kwa kuutafakari*

1. Kaa nami, ni usiku tena;
Usiniache gizani, Bwana;
Msaada wako haukomi;
Nili peke yangu, kaa
nami

2. Siku zetu hazikawii
kwisha,
Sioni la kunifurahisha;
Hakuna ambacho
hakikomi,
Usiye na mwisho kaa
nami.

3. Nina haja nawe kila saa;
Sina mwingine wa
kunifaa;
Mimi nitaongozwa na
nani
Ila Wewe?
Bwana kaa nami.

4. Sichi neno uwapo karibu;
Nipatalo lote, si taabu,
Kifo na kaburi haviumi,
Nitashinda kwako, kaa
nami.

5. Nilalapo nikuone wewe,
Gizani mwote nimulikiwe,
Nuru za mbinguni
Hazikomi,
Siku zote kaa nami.

*Usiku mwema*NAWAPENDA SANA
 
Ameena mama
usiku mwema na kwako pia Yesu akulinde na damu yake tunakupenda pia
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…