Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,977
Ahahhah yaan weweAkajifikiria na ubaya hajaacha pesa ...akanyweaa
Ahahhah yaan weweAkajifikiria na ubaya hajaacha pesa ...akanyweaa
Binamu shikamoo....safari zangu unazijua mpenzi wangu, my pasua kichwa ninakuita heart fixer, unaniumiza kichwa huku ukiufanya moyo wangu kuwa na furaha muda wote.
Safari zangu za Lindi tutaenda wote mamaa
Ataganyajee sasaAhahhah yaan wewe
Naombeni kuja kwenu kucheza jaman
gar uzuri bado hazijaishaa pale kituon
Ili nifike huko sa 6 eenh![]()
![]()
![]()
gar uzuri bado hazijaishaa pale kituon
Hivi sisi tumewakosea nini tanesco jaman♂️
♂️ umeme wakirudisha kidogo unakatwa yaan naombeni kuja kwenu kucheza
Binamu hakuna umeme jaman...umeme wamekata tena? Hebu toka nje uangalie kwa jirani kama unawaka!11?
Afu sikuwa najua kama wamekata, kwanini nakuwa wa mwisho kujua kama umeme haupo au haupo? wakirudisha nijulishe wa kwanza
Binamu shikamoo
Ila utafikaaaIli nifike huko sa 6 eenh
Binamu hakuna umeme jaman
Fitna ipii nimekupa mimi binamu jaman ninavyokupenda...baada ya kunipiga fitna ndo umekumbuka kunisalimia? Haya marahaba bila mahaba usikie makelele
AhahahhahahaAta nimechapiaa
Ila aliwaza mbali make mm 400 yeye mara mia 400![]()
![]()
![]()
Na kurudi je narudi vipiIla utafikaaa
Kho kho kho kho khoFitna ipii nimekupa mimi binamu jaman ninavyokupenda
Kurudi tena ?Na kurudi je narudi vipi
Khee hakuna kurudi kumbe ngoja nitoke niende nikachaj simu kidogo yaan naona na leo tunalala na gizaKurudi tena ?
Niniiiii mbona mchochezi hivyoKho kho kho kho kho