AminaTUPATE DONDOO ZA MAGAZETI YA LEO kwa udhamini mnono wa husna muba mpendwa wa Obe
MorningMorning KF family
Wise decision
Morning Bless UMorning KF family

Huyu jamaa mbona anajichanganya sana
Karibu uuTUPATE DONDOO ZA MAGAZETI YA LEO kwa udhamini mnono wa husna muba mpendwa wa Obe
Amen*JE WAJUA VYOTE ULIVYO NAVYO NI MALI YA BWANA?*
*HAGA 2-8* Fedha ni mali yangu, na dhahabu ni mali yangu, asema Bwana wa Majeshi. Utukufu wa mwisho wa nyumba hii utakuwa mkuu kuliko utukufu wake wa kwanza asema Bwana wa Majeshi: na katika mahali hapa nitawapa amani, asema Bwana wa Majeshi.
Bwana Yesu asifiwe sana.
Pokea baraka nyingi kuliko zile za kwanza katika jina la Yesu Kristo.
Adui asikutishe maana hana kitu chochote hapa duniani ni mlaghai tu tena muongo.
SIKU NJEMA WAPENDWA![]()
![]()
Amen*TUOMBE*
Mtakatifu Mtakatifu Mtakatifu Bwana Mungu Muumbaji. Tupo mbele zako asubuhi hii ya leo kukushukuru kwa kutufikisha siku hii ya leo. Sifa, heshima na Utukufu ni kwako.
Tunakuomba tutakase maovu tuliyo tenda kwa kujua na kutokujua. Mungu tuongoze tuweze kufikia kusudi letu maishani na kuliishi kusudi. Mungu wetu Tunaombea Taifa letu,wajane,yatima, waliofungwa kwa hila za mwovu shetani,wagonjwa,Uchumi wetu,Wanafunzi hasa wanaofanya mitihani. Tunaarika Nguvu,Mamlaka na Utawala wa Roho Mtakatifu viwe pamoja nasi katika Jina la Yesu tumeomba Amina.
Morning mkuu!Morning KF family
RIP pieter2006 - Pieter Willem Botha, Waziri Mkuu na Rais wa Afrika Kusini alifariki