Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,324
- 35,833
Mpendwaaaa santeee
....asante kwa kuupenda muziki na zaidi asante kwa kuwa mimi nakupenda zaidi na unalijua hilo
Mpendwaaaa santeee
Binamu shikamoo tupo cie
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12]Mpe kabisa na mapishi ya aina zote..kazi kwenu
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji106]...nimeona my sweetie, na ya zamani yanakusaidia namna ya kuendelea mbele
Joseverest njoo hapa[emoji1]...kuna kiumbe kinahitaji kuniona mpenzi wangu? Mbona mimi sijui hili, why nakuwa wa mwisho kujua haya mambo
Umeulizwa?![emoji1]Binamu shikamoo tupo cie
No,haunipendi Bali tunapendana maana mm hata mm nakupenda na unajua pia....asante kwa kuupenda muziki na zaidi asante kwa kuwa mimi nakupenda zaidi na unalijua hilo
Kuna nini??[emoji18] [emoji17]Joseverest njoo hapa[emoji1]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12]
He!,mbona kinyonge hivyo?![emoji134]Kuna nini??[emoji18] [emoji17]
Wazima kabisa binamu..nimefurahi kukuona, kina JJ hawajambo?
Naandaa mazingira ya kusemeleaUmeulizwa?![emoji1]
hamna shida...kuna niniHe!,mbona kinyonge hivyo?![emoji134]
[emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41]No,haunipendi Bali tunapendana maana mm hata mm nakupenda na unajua pia
[emoji120] [emoji120]Tuwe na mwanzo mwema wa wiki na Mwenyezi Mungu atuongoze
[emoji120] [emoji120]TUPATE DONDOO ZA MAGAZETI YA LEO kwa udhamini mnono wa Chaplin
Ubarikiwe[emoji120]View attachment 620374Asubuhi njema makapuku wote na mwanzo mwema wa wiki hii na mwisho mwema wa mwezi wa kumi
[emoji120] [emoji120] [emoji7]Morning Fams
[emoji120] [emoji120] [emoji7] [emoji7]LEO KATIKA HISTORIA