Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
LEO KATIKA HISTORIA
Obe yuko wapi?
Aisee...Ex wangu ushapata wa kukuliwaza...HongeraYuko pembeni yangu
Hahaha...Aisee...Ex wangu ushapata wa kukuliwaza...Hongera
kitambo sijui ''akaja kula maharage ya wapi'' tukaachana humuhumu JFHahaha...
Joseverest ulikuwaga unakamatia Husna Muba kumbe?
Aisee..kitambo sijui ''akaja kula maharage ya wapi'' tukaachana humuhumu JF
hizi story zako nzuri...nitafanya mawasiliano na wewe uwe unanitumiaZaituni alivalishwa nguo mpya mpya
"lakini hela umepata wapi mara hii"
"aahhhh hela nimekopa mahari, nitalipa kidogo kidogo kutokana na biashara yangu ya viazi"
"angalia bwana mikopo sio mizuri eti"
Ghafla simu ya sheby iliita, tena kalikuwa kasimu kadogo kabisa yani katecno, kucheki jina alikuwa ni baba yake
"haloo mzee"
"wewe upo wapi mbona ofisini haupo"
"nakuja sasa hivi mzee"
"fanya haraka afu ile safari ya india ni kesho ila tutakwenda wote"
Sheby kuskia hivyo alifurahi lakini ghafla alinuna, kwasababu wanaenda na mzee wake india..
"sawa mzee"
"ndio, hebu njoo ofisini tuandae documents zake"
"sawa mzee nakuja sasa hivi"
Simu ilikata kisha zaituni akauliza
"huyo ni baba mkwe"
"hapana, ni boss wangu anasema gari la viazi limeshakuja hivyo niwahi nikachukuwe mzigo nianze kutembeza kwa mkokoteni"
"wahi basi jamani"
Aliongea zaituni kana kwamba anampenda sana mwanaume mchapa kazi
Hajakaa vizuri mara shadya kaja na chakula,...
"kaka chakula hiki hapa"
"ooohhh sawa basi nyie endeleeni kula mimi nikachukuwe mzigo"
"sawa wacha nile nae basi"
Kiukweli kazi aliopewa shadya ya kuishi na kipofu ni ngumu sana kwa upande wake lakini anaifanya kwa moyo wake wote,...
Sasa huku mjini katika hoteli moja hivi, kumbe kijana sheby kapangisha chumba kwenye hoteli hio ya kitajiri, yaani hoteli yenye hadhi yake ya kitajiri lakini,... Tunamuona sheby anatoka akiwa msafiii, tayari keshavaa nguo zake vizuri sasa anachukuwa gari yake na kurudi ofisini,...
Sasa tukija huku kwa akina mary wakiwa wapo saluni wasichana watatu, akiwemo huyo rafiki yao aitwaye mwana, mana nasikia wakimwita mwana lakini hatujui kirefu chake,... Na huyo mwana alikuwa ni mtoto wa tajiri kama ilivyo kwa sheby, na ni mtoto wa pekee kwenye familia yao, bonge la toto umbo la hali ya juu, sura ya kutabasamu...
"dada rose naomba leo usiniangushe mwenzio"
Aliongea mary huku wakiwa wanaendelea kusukwa, mana saluni hio ilikuwa ni saluni ya mwana, hivyo walikuwa wakibadirisha nywele kila baada ya siku mbili mana hawalipiii..
"heeeee siku hizi mary unamuita rose dada"
Aliongea mwana huku akimwangalia mary, na hata mwana pia ni mkubwa sana kwa mary, mana mary hakosi miaka kama 22 hivi, na rose ana mia 25, mwana ana miaka kama 28 hivi, hivyo mwana ni mkubwa kwao ila wanapendana sana na hakuna mtu naemdharau mwenzie...
"we acha tu shost, hata mimi nashangaa toka juzi"
"heeeeeeee haya kulikoni"
"mwenzangu Weeeeee, kuna kiboy kadata nacho ila mwenzio muoga huyo, sasa ananisukumia mimi tu nimtongozee"
"mmmhhh mseidie tu kama inawezekana"
"asijali"
"kwaio ndio mana kakuita dada.. Hahahahahahahahaha mary anachekesha kweli kweli"
"unajua nini dada mwana.... Mi nashangaa ghafla tu kaingia moyoni mwangu afu naona aibu kujipendekeza, na nikisema nisubiri mpaka anitongoze mwenyewe, mmhhhh itachukuwa muda au nisimpate kabisa"
"kila kitu ni taratibu tu Mary, kuwa mpole na mapenzi, we bado mdogo"
Aliongea mwana huku wakicheka sana,..
Sasa tukija huku ofisini kwa akina sheby akiwa yupo na baba yake
"kwahio kesho ndio safari mzee"
"ndio, hivyo jiandae tuweze kwenda"
"sawa"
Lakini kitendo cha mzee kutaka waende wote, sheby hajakipenda kabisa, yaani hataki mana nia yake aende na zaituni...
Ilipofika mida ya jioni sheby akiwa anatoka kwa akina mary, lakini alikuwa akiwasiliana na watu dulani wasiojulikana, kumbe sheby hakuwa mzuri kwa baba yake...
"sikiliza gidi,.. Mshua bado hajarudi homu, sasa nataka tumvizie sehemu gulani, lakini hakikisha hadhuriki"
"sheby usijali, lazima tufanye hivyo kwasababu yako"
Maskini mida ilizidi kwenda mzee rashidi asijui hili wala lile kumbe mtoto wake mwenyewe anamfanyia kitu kibaya.....
Ikiwa ni mida ya saa mbili kasoro usiku mzee huyo alikutana mawe njiani, hivyo hakuweza kupita ikabidi ashuke kujua kulikoni, na yeye alijua ni bijana wanataka pesa,.. Mzee rashidi hakuwa mtu wa mkono mfupi, yeye anatoaga pesa tu... Lakini ile anashuka kwenye gari alikutana na ngumi iliompiga shingoni na kudondoka chini,...
"gidi vipi mi nimekwambja asidhurike bwana"
Aliongea sheby baada ya kuona baba yake kanyamaza pale chini, wakati huo hata gidi alikuwa na wasiwasi mana nia yake ni kumfanya akae chini ili wamteke na kumfungia mahari, lakini cha ajabu kadondoka chini na kutulia kimya...
"gidi umefanya nini sasa"
"samahani sheby... Tumuwahishe hospitali"
Sheby shida yake ni kwenda india peke yake na sii kwenda na mtu, lakini njia alioitumia imegeuka kuwa kilio kwao,..
Mzee alifikishwa hospitalini mida ya saa tatu na nusu usiku,.. Machela zilikuwa zikipishana hospitali hapo, manesi walikuwa bize sana,...
"dokta, dokta naomba umpime baba yangu"
"subiri kwanza tumtundikie dripu"
"sawa fanya hivyo basi"
"kwani kafanya nini"
"aagmhhhh kadondoka ghafla tu"
Alidanganya kijana sheby
Baada ya muda vipimo vilifanyika lakini dokta alikuja huku akiwa na huzuni juu ya vipimo vya baba yake
"nione ofisini kijana"
Aliongea dokta huyo huku sheby akimfuata kwa kukimbia sana, furaha imegeuka kuwa karaha, utani na ujinga wa kijana sheby umekwenda kuwa mbaya kwa mzazi wake huyo
"kwanza pole sana kijana, mana inaonekana ni jinsi gani unampenda baba yako"
Aliongea hivyo dokta huyo huku sheby akitaka kujua vipimo vya baba yake
"dokta, tafadhali sana achana na maneno mengi... Mi nataka kujua baba yangu yupo hai"
Ghafla dokta anatoa leso mfukoni, sheby akajua baaasi mambo yamekwisha, mana mpaka mtu kupewa leso basi unatakiwa ulie kisha ufute machozi...
Je? Nini kitaendelea??.... Baba yake sheby
Yeye tatizo ana tamaaAisee..
Kwaa hiyo nani alipitiwa na shetani?
nimeshapoa mkuu...pamoja sana TAisee..
Pole sana mkuu.
kitambo sijui ''akaja kula maharage ya wapi'' tukaachana humuhumu JF

Shemejiiii
Shemeji za sikuShemejiiii
Njema shemeji upooo dada yupo mwambie namtafutaShemeji za siku
Yupo kajaa tele, nilikuwa tukuyu ndio nipo njiani narudi darNjema shemeji upooo dada yupo mwambie namtafuta