Makapuku Forum

Makapuku Forum

..jamani, kuna jipya?

de9c92ee75250672c0d030d3b23d663b.jpg
 
Muziki: Muamuzi Ni Wewe

Niaje Kapuku mheshimika, heshima nyingi sana kwako na tunajuana humu, wa kuamkiana shikamoo wapo na wale wa mambo ndo mmejaa humu na anko wangu akihusika. Wikend ilikuwaje kwako, upande wangu ilikuwa nzuri na ninashukuru sana kwa wote walioifanikisha. Tunategemeana sana na hata uwe na yote bado utahitaji moja au mbili toka kwa huyu na yule, awe wa faida au bure.

Niliamua kwenda ndondo, zile mechi zetu tunazopendaga na anko wangu. Ni maamuzi tu maana anko wangu yeye kaamua kwenye kucheza ndondo zake nchi za kigeni, wait a moment, hivi Moshi jamani iko nchi ya kigeni? Kwa jinsi alivyokuwa anaongea harakaharaka kama waziri anayejiuzuru nilitaka kuingia mkenge niamini kuwa Moshi ni nchi ya kigeni, yaani akanionesha hadi na picha ya mlima Kilimanjaro. Namshukuru though, maana alinipa ujumbe mzuri tu kuwa maji ya bahari hayazamishi meli labda yaingie ndani ya meli, let me put this way, the negativity of the world can not put you down unless you allow it to get inside you. Na kwa maneno ya T-Bag, we are the captive of our negativity. Unataka kufanya mambo mazuri, kipe kazi kichwa chako, usikifugie nywele na kukinyolea punk au kukiwekea wigi, kipe kazi na ufanye maamuzi maana wewe ndo muamuzi na hakuna mwingine anayeweza kukuamulia hata kama unalala sebuleni au bandani

Muziki sana, ni Jumatatu na unajua kabisa bila wewe humu, Jukwaa hili si lolote si chochote na kwa kuwa wewe upo hapa basi hapa ni sehemu nzuri kabisa ya kuwepo.

Mpendwaaaa santeee
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom