Makapuku Forum

Makapuku Forum

Jamaa katusema vibaya huko pembeni na ushahidi nimeweka hataki kukubali wala kuomba radhi analeta uzushi uzushi tu anafikiri sisi Makapuku hatujielewi au hii thread sawa na thread zingine
Mwambie a jirekebishe sio kusema Ameen
...............
Acha nikupuuzie tu maana hunijui sikujui na kingine labda nikufahamishe wewe na wenye tabia kama yako hapa jf ya kutishia watu,sina faida nayopata hapa mimi wala wewe ndugu sana tunashinda na kukesha huku kupoteza muda tu.Mimi sijakosea zaidi nlijisikia vibaya mlivyokua mnapita kwenye ile thread kama alieanzisha alivyolalamika kwa hiyo ndugu tafakari
 
effd1fa89bd43e43b44a49168ed71dfd.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom