Bitoz
JF-Expert Member
- Aug 27, 2015
- 30,823
- 126,632
Poa poa, yani leo notification ni za shida sanaKachungulie PM
![]()
![]()
![]()
![]()
...................
Powaaa my wiiSafi kabisa mambo vipi??
Hahahahaha cc Jimena
Maana hakuna namna nyingineKauzu zaidi ya dagaa
NO LIKE
NO REPLY
NO QUOTE
sasa aongee peke yake hadi achoke na akitukana ni kureport tu
......................
Dah kuna watu wakija ni kupost tuuKauzu zaidi ya dagaa
NO LIKE
NO REPLY
NO QUOTE
sasa aongee peke yake hadi achoke na akitukana ni kureport tu
......................
Mwaka huu lazima heshima irudiHahahahaha cc Jimena
KaribuuuNimewamis ndugu
Yapo, yapo tu ntapunguzaje?Punguza mahaba
Miss youNimekuja my dear!
Ulikuwa wapi sheemTupooo shem
Niilikuwepo humu humu shem!Ulikuwa wapi sheem
Shem mkarim sanaKaribuuu
Mzima wewe???
Hatujambo!Wazima wote?
Karibu, nalikumis sana, uko poa!Wazima wote?
Th name mzima?Hatujambo!