Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,265
KweliHakuna aliyenuna wifi
Sie kila siku ni furaha![]()
KweliHakuna aliyenuna wifi
Sie kila siku ni furaha![]()
AikambeWacha nipige simu counter watuletee hapa chumbani...Mumy Hongera tena na tena..

Karibuu mae..Aikambe
![]()
Mkuu kwema?Hi.....braza
Kwema kabisaa......Mkuu kwema?
Asante sana mkuu umekuwa adimu kijiweni hapa ...Mkuu we endelea maana kwa vitu nilivyotupia gauge inasoma fit sana hata asubuhi ni mwendo wa supu tu...chai haitashuka..Kwema kabisaa......
Mkuu. Karibu gawaha hapa
Amina kubwaaaaaAmeen
Nafurahi kuona hii ndoa inanaawiri
Mumy kuna watu hawaonekani kabisa huku siku hzi Th Name na lizziebettie...una taarifa za hawa watu my dear?Amina kubwaaaaa
Asante mkuu. Naona amaizing anaifanya kazi vemaAsante sana mkuu umekuwa adimu kijiweni hapa ...Mkuu we endelea maana kwa vitu nilivyotupia gauge inasoma fit sana hata asubuhi ni mwendo wa supu tu...chai haitashuka..
Mkuu majukumu daaahMumy kuna watu hawaonekani kabisa huku siku hzi Th Name na lizziebettie...una taarifa za hawa watu my dear?
Wew mke wa mfanoAmina kubwaaaaa
Baby hawa watu wapo mapumziko wanakula maishaMumy kuna watu hawaonekani kabisa huku siku hzi Th Name na lizziebettie...una taarifa za hawa watu my dear?
Halo paka Th Name amuachie....ndiio atakuja....Baby hawa watu wapo mapumziko wanakula maisha
lizziebettie namuona anagonga like halafu kimya
lizziebettie mamy tumemis uwepo wako na shem Th Name
Kabisa kuna na EMMYGUY , Patience123 , HOPECOMFORT ,Linamo, Nahrene aggyjay hawa watu wanapotea sana aisee...Inabidi ianzishwe Roll call hapa