sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 20,890
- 47,611
Ahaaaa haah gambe....
Ok nmeelewa sasa.
Ahaaaa haah gambe....
Kwani huyu pasta wangu jambilo yupo??? Nahitaji tufanye maombi ya jambo fulaniKabisa kuna na EMMYGUY , Patience123 , HOPECOMFORT ,Linamo, Nahrene aggyjay hawa watu wanapotea sana aisee...Inabidi ianzishwe Roll call hapa
Na wewe ndio utakua muita majina kila siku asubuh na usikuKabisa kuna na EMMYGUY , Patience123 , HOPECOMFORT ,Linamo, Nahrene aggyjay hawa watu wanapotea sana aisee...Inabidi ianzishwe Roll call hapa

Ahah haah kweli kabisaa.....Na wewe ndio utakua muita majina kila siku asubuh na usiku![]()
OK...Thanks honey kwa taarifa hii..Baby hawa watu wapo mapumziko wanakula maisha
lizziebettie namuona anagonga like halafu kimya
lizziebettie mamy tumemis uwepo wako na shem Th Name
Mumy unajua mme wako nilivyo sinitakuja hata kusahau majina ya watu hapa iwe aibu..Please mpe mwingine hii kazi kwa kuitunza tu heshima yetu..Na wewe ndio utakua muita majina kila siku asubuh na usiku![]()
Najua una muwinda shemMbarikiwe paka mshangaee......
Ila kuwa makini.....tuu wasije kukuibia
Najua una muwinda shemMbarikiwe paka mshangaee......
Ila kuwa makini.....tuu wasije kukuibia
Ndio wakwanza kuibariki hii ndoa....siwezi kuwindaNajua una muwinda shem
Ndiyo huyo uliekuwa unamtaka kaja sasa nakuanza za uso....Ndio wakwanza kuibariki hii ndoa....siwezi kuwinda
HahaaaaNdiyo huyo uliekuwa unamtaka kaja sasa nakuanza za uso....
Punguza mahabamjibu mpumbavu sawa na upumbavu wake, full stop
Nimekuja my dear!Baby hawa watu wapo mapumziko wanakula maisha
lizziebettie namuona anagonga like halafu kimya
lizziebettie mamy tumemis uwepo wako na shem Th Name
Tupooo shemMumy kuna watu hawaonekani kabisa huku siku hzi Th Name na lizziebettie...una taarifa za hawa watu my dear?
Karibu my dearNimekuja my dear!