Mbulu
JF-Expert Member
- Apr 15, 2015
- 5,619
- 5,518
Nahisi wewe wa kwanza,unazijua dalili za mnafiki wewe?![]()
Mnafiki tu ww
................
Nahisi wewe wa kwanza,unazijua dalili za mnafiki wewe?![]()
Mnafiki tu ww
................
Urais kwanza, mengine baadae!!!!Daah leo tiba katutembelea!
Jimena hebu sema naye c wajua hitaji langu ee#
Sina shida ya malumbano halafu anajifanya JEURINahisi wewe wa kwanza,unazijua dalili za mnafiki wewe?
Sikia jomba,ili tuendelee kulumbana ningejua kwanza jinsia yako,alieanzisha uzi aliandika nini na mimi nimeandika nini acha kukurupuka bhanaSina shida ya malumbano halafu anajifanya JEURI
...............
Kweli kabisa Sister ntamwambia ila hali ya hewa leo pamekucha na baridi sana na ukichukulia ni wkend....Mzima sasa, mwambie wifi asikufiche sanaa
Mkuu unanitisha, nkupe urais ndipo tukae chemba!Urais kwanza, mengine baadae!!!!
Assante myKila nionapo sura yako huwa nahisi farijiko la ajabu ndani ya moyo wangu...

Wakuu tafadhali nawaomba mpunguze jazba kugombana hakuna faida yeyote zaidi ya kubomoa tuliyojenga.Sikia jomba,ili tuendelee kulumbana ningejua kwanza jinsia yako,alieanzisha uzi aliandika nini na mimi nimeandika nini acha kukurupuka bhana
Sina shida ya malumbano halafu anajifanya JEURI
...............
Pamoja sana Mama la mama..Love you sana kabisa...Assante my
Love yu![]()
AmeenWakuu tafadhali nawaomba mpunguze jazba kugombana hakuna faida yeyote zaidi ya kubomoa tuliyojenga.
Amani itawale tafadhali.
Poa kabisa shemeji habari ya jioni.Shemeji adje arifu?
Poa kabisa shemeji habari ya jioni.[/QUOTE
Baridi moja nzuri mbaya kabisa yaani hapa ni mwendo wa supu na ile ingine...Supu na ile ingine bhaaaas
Huyu jimena atamtoa roho yule mzee.2. Jimena 13,464
3. Mshana jr 13,408
Mkuu vp tena!Nahisi wewe wa kwanza,unazijua dalili za mnafiki wewe?
Jamaa katusema vibaya huko pembeni na ushahidi nimeweka hataki kukubali wala kuomba radhi analeta uzushi uzushi tu anafikiri sisi Makapuku hatujielewi au hii thread sawa na thread zingineWakuu tafadhali nawaomba mpunguze jazba kugombana hakuna faida yeyote zaidi ya kubomoa tuliyojenga.
Amani itawale tafadhali.
Tunaongelea 29k na hatujawahi kwenda kinyume na makubaliano, sasa how come we mwenzetu uende ukajifanye ndo msemaji wa Makapuku tena nje ya KF???Sikia jomba,ili tuendelee kulumbana ningejua kwanza jinsia yako,alieanzisha uzi aliandika nini na mimi nimeandika nini acha kukurupuka bhana