Jimena
JF-Expert Member
- Jun 10, 2015
- 25,935
- 96,100
Sio kwako tu, anabana kote tu, kifupi huyu sio mtoajiPamoja sana ila kwa upande wangu unabana sana..Fungua moyo jombaa achia neema zitiririke..
TuimalizieeTunailaje hiyo weekend sasa? Maana mi niko katikati ya hiyo weekend
Cheers![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
cheers
Ndo kasema jambiloTuheshimiane! Mi na pastor wapi na wapi![]()
![]()
![]()
![]()
Natambua uwepo wao hawa wapenzi wa ukweli kaka na my wiiMabibi na Mabwana wageni waalikwa naomba tusimame kwa dk 1 kutambua uwepo wa watu muhimu sana huku ni Th Name na lizziebettie tuwapigie makofi tafadhali...Karibuni sana mkae wageni wetu..
HahaaaaaaKafuteni LIKE zenu kwa Mbulu
![]()
Someni hapo
.....................
Mambo my wii!Natambua uwepo wao hawa kaka na my wii
Too lateTuimaliziee
Toka lini???Cheers
Et upo na jambilo??? Sijui wap nikweli
Quote hapo aliposema manake mi sijaona ili tupate mkweli kati yenuNdo kasema jambilo
Kikazi zaidiHahaaaaaa
Umetisha le presidaaa
Kauzu zaidi ya dagaaHahaaaaaa
Umetisha le presidaaa
Safi kabisa mambo vipi??Mambo my wii!