Makapuku Forum

We endelea mke mweee shemejio atakuwa anawaza kwa sauti wala haongei na ww
 
...nawaangalia tu, niko bia ya tatu, na bado wanapiga taarabu, wakiweka kisanola nitakuja kuwaambia kinachoendelea. kwa sasa nipo na mzigo wa anko umekuja na rafiki yake wanakula kuku tu hapa wa kienyeji , kitu cha foil
Usinambie anko umeovateikiii?

Shikamo na ongeza bia ya 5 bili kwa shunie
 
Nani alipe aongeze umlipie wewe au ajilipie mwenyewe na we binamu utajua mwenyewe na hiyo mizigo yako
Usinambie anko umeovateikiii?

Shikamo na ongeza bia ya 5 bili kwa shunie
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…