Mkushi Da Gama
JF-Expert Member
- Jun 23, 2015
- 3,692
- 4,995
Morning EdenMorning makapuku forum wote
Morning EdenMorning makapuku forum wote
Morning mwifwaMorning Kapuku
Morning daughter I am fine,God Bless you Enjoy your friday Love youMorning mom
Morning all kapukus

Morning daughter I am fine,God Bless you Enjoy your friday Love you![]()
![]()
be blessed
TUOMBE*
Amina mama mchungajii*TUOMBE*
Mtakatifu Bwana Mungu mwenye Nguvu. Tunakushukuru kwa Ulinzi na uweza wako wa Ajabu juu ya Maisha yetu. Siyo wema wetu,Akili wala Nguvu zetu bali ni kwa NEEMA yako. Tunaomba kila tutakapo kuwa leo tufunike na wingu la Utukufu wako.
Eeh Mungu mbariki kila mmoja mmoja wetu sawa sawa na jinsi upendavyo wewe. Mungu bariki Taifa letu,Mungu Fanya makazi ndani ya Mioyo yetu upate kupanda Mbegu ya Uzima ndani yake.
Ponya wagonjwa na kila jeraha la mmoja wetu,fariji wafiwa,waangalie yatima,wajane,wagane na wahitaji wote..mkono wako utuguse kila mmoja na hitaji lake.
Tunaomba tuliza dhoruba,mafuriko na maafa yote katika jamii zetu.
Walinde watoto wetu popote walipo Baba uwe nao.
safiri na wasafiri wote majini,nchi kavu na angani waendako na watokako wawe salama.
Baba unafahamu mahitaji yetu mmoja mmoja tushike Baba na utujibu sawa na mapenzi yako
Ni katika Jina la Yesu tunaomba tukiamini na kushukuru Amina.
MBARIKIWE![]()
*TUOMBE*

Ubarikiwe Mama mchungaji