Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
..kuna gym moja jirani na beach kimba, aka Mikadi beach ameanza kwenda hapo labda ndo maana anarusha ngumi

Duuu naona uvivu kusoma
Wanabebishana wenzio wee kaaga hivyo hivyo kAribia maka anamchukua mama mchuchu wako
....sijakuagizia mimi, ningekutajia kinywaji hapo ungesema lakini nimeacha uhuru wa kujichagulia kinywaji kuendana na hali yako, kama hali yako inakupambania basi si ulitangaza kuninyima hadi jwisi basi kunywa maji usikie tumbo linavyounguruma

UmefurAhi nn mkuu?
EndeleaaWale wa story niendelee au niache
USIKU UINGIAPO

Muziki: Bila Style
Mida imeenda hii, yeah, sikutaka niwahishe kuweka muziki ili nikupe nafasi ya kuangalia Futuhi, ujue blaza K ana mambo yake ya kufurahisha na ni bahati mbaya sana siku ya Wenger, eeh siku yake ya kuzaliwa ilikuwa juzi, ilipaswa iwe leo ili Arsenal acheze na tuangalie futuhi. Anyway, usifikiri ninataka kuandika jambo la muhimu sana maana kwa namna ambavyo kila kitu kimeshaandikwa na kuvumbuliwa, mimi ni nani hadi niandike kitu kipya au nivumbue kitu kipya. Kilichobaki ni hapa kazi tu.
Leo nisikuchoshe sana maana it's almost furahiday and with you great and awesome people, Kapuku remain not only to be the best but the perfect forum to visit and ukivutiwa zaidi unastay. Hakuna atakayejali maana humu kila mmoja anapambana na hali yake, kwa mfano, anko wangu yule mnayemjua, yeye tukio lolote hata kama halijatekelezwa, likitangazwa tu basi huyooo. Imetangazwa bomoa bomoa inakuja mjini, akaamua kwenda kuweka makazi Moshi mjini, mji wa wasafi, usafi wa mji sio wa mwili. Kuna tofauti. Leo kasikia uteuzi tayari kavaa suti kaenda kwa mdada mwajiriwa mpya kajitambulisha kuwa yeye ndo katibu mkuu muhtasi, mzee wa mafaili, pedeshee, mwajiriwa mpya kaingia kingi, unajua anko alichofanya, usikiseme maana nina aunty yangu ana moyo na mimi sipendi kumuumiza moyo. Na mvua zinavyonyesha, basi nikufungulia mikatiko ya wanakatitu.
Muziki sasa, kwa nini ujidai kumechisha eti kwenda na style, kesho tokelezea bila style maana ni furahiday na ninakupenda sana Kapuku mheshimika na kama nilivyosema kwa kimombo. Kuhusu umombo, wakati mwingine huwa namwaga ung'eng'e hadi natamani kuwauliza wazazi wangu kama walinitafuta wakati wakiwa tingasi aka walilalana kunitafuta wakiwa wamelewa bia, full kuongea kilugha cha kizungu hadi nikapatikana. Usikasirike kama wewe walilombana wakiwa na njaa, kila siku kulalamika tu. Nilichoandika leo dadeki unaniombea nipigwe radi, haiwezekani maana humu kila mornie BH anamwaga sala na ninazishiriki kikamilifu hadi wakati mwingine najistukia kwa namna navyozifatilia anaweza akatangaza tuanze kutoa sadaka. Nakupenda kapuku mwenzangu na unalijua hili, ujue nini, Easy friday ndo nayokuombea
Amina mama mchuchu, uwe na usiku mwema.USIKU UINGIAPO
1.Usiku uingiapo,umwaze Mungu Mkuu,aendeshaye dunia kwa mwendo mtulivu.
2.Kwanini wahangaika Usiku na Mchana?Umtwike huzuni yako aliyekuumba.
3.Kwake haujapungua uwezo na msaada.Atayatimiza yote aliyoyaanza.
4.Ukamwachie kutenda atakalo kwako!Kwa hiyo ulale raha na kufurahiwa.
TUOMBE BABA Asante kwa ulinzi wako mchana kutwa umekuwa mwema sana kwetu umetuepusha na hatari zote za mwili na roho ,ajali ,mafuriko na hata kukata tamaa..tunasema asante Baba wewe ni Alfa na Omega wastahili sifa heshima shukurani utukufu.sasa tunapumzika,tunaomba toba kwa yote tuliyotenda kwa mawazo maneno matendo uturehemu twakusihi,ponya wagonjwa,wenye tabu,dhiki,wafiwa wakumbatie , tunaomba malaika walinzi waweke vituo katika malalo yetu utuamshe tena salama asubuhi ni katika jina la Yesu jina lipitalo majina yote amina.
USIKU MWEMA WAPENDWA MBARIKIWE![]()
![]()
Asante Obe Ubarikiwe
aseehNiite mshikaji wako tu inatosha
Zaburi 139 Bless U ObeAmina mama mchuchu, uwe na usiku mwema.

Morning za uzima ubarikiweMorning makapuku forum wote
Morning za uzima ubarikiweMorning Kapuku
Muziki: Bila Style
Mida imeenda hii, yeah, sikutaka niwahishe kuweka muziki ili nikupe nafasi ya kuangalia Futuhi, ujue blaza K ana mambo yake ya kufurahisha na ni bahati mbaya sana siku ya Wenger, eeh siku yake ya kuzaliwa ilikuwa juzi, ilipaswa iwe leo ili Arsenal acheze na tuangalie futuhi. Anyway, usifikiri ninataka kuandika jambo la muhimu sana maana kwa namna ambavyo kila kitu kimeshaandikwa na kuvumbuliwa, mimi ni nani hadi niandike kitu kipya au nivumbue kitu kipya. Kilichobaki ni hapa kazi tu.
Leo nisikuchoshe sana maana it's almost furahiday and with you great and awesome people, Kapuku remain not only to be the best but the perfect forum to visit and ukivutiwa zaidi unastay. Hakuna atakayejali maana humu kila mmoja anapambana na hali yake, kwa mfano, anko wangu yule mnayemjua, yeye tukio lolote hata kama halijatekelezwa, likitangazwa tu basi huyooo. Imetangazwa bomoa bomoa inakuja mjini, akaamua kwenda kuweka makazi Moshi mjini, mji wa wasafi, usafi wa mji sio wa mwili. Kuna tofauti. Leo kasikia uteuzi tayari kavaa suti kaenda kwa mdada mwajiriwa mpya kajitambulisha kuwa yeye ndo katibu mkuu muhtasi, mzee wa mafaili, pedeshee, mwajiriwa mpya kaingia kingi, unajua anko alichofanya, usikiseme maana nina aunty yangu ana moyo na mimi sipendi kumuumiza moyo. Na mvua zinavyonyesha, basi nikufungulia mikatiko ya wanakatitu.
Muziki sasa, kwa nini ujidai kumechisha eti kwenda na style, kesho tokelezea bila style maana ni furahiday na ninakupenda sana Kapuku mheshimika na kama nilivyosema kwa kimombo. Kuhusu umombo, wakati mwingine huwa namwaga ung'eng'e hadi natamani kuwauliza wazazi wangu kama walinitafuta wakati wakiwa tingasi aka walilalana kunitafuta wakiwa wamelewa bia, full kuongea kilugha cha kizungu hadi nikapatikana. Usikasirike kama wewe walilombana wakiwa na njaa, kila siku kulalamika tu. Nilichoandika leo dadeki unaniombea nipigwe radi, haiwezekani maana humu kila mornie BH anamwaga sala na ninazishiriki kikamilifu hadi wakati mwingine najistukia kwa namna navyozifatilia anaweza akatangaza tuanze kutoa sadaka. Nakupenda kapuku mwenzangu na unalijua hili, ujue nini, Easy friday ndo nayokuombea

Morning MwifwaMorning Kapuku