manuu
JF-Expert Member
- Apr 23, 2009
- 4,064
- 10,745
Ama utamuelekeza aje Protea Hotel Machame si ndiyo tunaenda lala kule aje tu...Halafu akifika tunakuwa tumesepa![]()
![]()
Ama utamuelekeza aje Protea Hotel Machame si ndiyo tunaenda lala kule aje tu...Halafu akifika tunakuwa tumesepa![]()
![]()
Kweli kukuelewa, tulikuwa tunamuongelea mzee kuwa inasemekana toka youngblood akae #1 hujaonekana tena kwenye forum hiiWhy fitna Dada?

Naomba Makapuku wote yule mtu akirudi tena kwa mbwembwe bila kuomba radhi HAKIKISHENI HATUMQUTE/REPLY WALA KUGONGA LIKE .......tumuignore coz katuonyesha dharau(hataki kuomba radhi wala kukubali kosa) analeta blah blah tuInaboa sana kwakweli, mi sipendi tabia za hivyo sana,
Watu wote tunakosea ila ukiona umeteleza unaomba radhi unajirekebisha life inasonga yanini kukaa na vinyongo??
Mbona si wengine tukikosa huwa tunaomba radhi ??
Haya bhana. Mimi sina neno. Labda ubizeKweli kukuelewa, tulikuwa tunamuongelea mzee kuwa inasemekana toka youngblood akae #1 hujaonekana tena kwenye forum hii
Ni hayo tu![]()
![]()
![]()
Hahahahah halafu kasema Malindi kuna totoz za Chuo cha ushirika ndiyo jambo lingine analo hofia...Hahaaaaa
Asije akavaa pensi kumbe mguu hauruhusu ikawa majangaaaa
Cc manuuNaomba Makapuku wote yule mtu akirudi tena kwa mbwembwe bila kuomba radhi HAKIKISHENI HATUMQUTE/REPLY WALA KUGONGA LIKE .......tumuignore coz katuonyesha dharau(hataki kuomba radhi wala kukubali kosa) analeta blah blah tu
................................
Pamoja sana kaka langu la ukweliHaya bhana. Mimi sina neno. Labda ubize
Unataka picha inaonyesha nini mkuu?Yupiamo ka picha mkuu.
View attachment 345442
PeacePeace and love
Mnazingua sasa.Ama utamuelekeza aje Protea Hotel Machame si ndiyo tunaenda lala kule aje tu...
Hii malindi ya wapi?Yupiamo ka picha mkuu.
View attachment 345442
Hapa ni kwa manuuHii malindi ya wapi?
Poa mkuu.Cc manuu
amaizing
Th Name
jambilo
EMMYGUY
lizziebettie
youngblood
Na wote siwezi kuwatag wote ila muione hii kitu
Nimeona hii mkuu unawahi round about ule Central ama Sanawari...Micn sana hii mitaa mkuu..Hapa ni kwa manuu