Hahahahah utafanya kijana akimbie hadi asahau kurudishia mlango...Tupo mitaa yenu shem
Karibu tutoe loki![]()
Sasa shem nikivaa pensi hiki kigimbi si kitaonekana.Hahaaaa
Kumbe Shem unapendenda totozz
Haya tupia t-shirt na pensi kama mguu unaruhusu ili uwe sare sare na manuu
Halafu akifika tunakuwa tumesepaHahahahah utafanya kijana akimbie hadi asahau kurudishia mlango...

Sawa shem.Aaaahhh nilijua unamguu mzuri kama WA manuu
Ila haina mbaya tupia jeans tu
Mmmmh mbona hivi tenaHahahaha.
Vijana wabaya sana.
Nasikia hujaonekana toka ulipomtoa pale #1
Faster faster Jombalai....
Usiogope brother mambo ya kawaida tu.Mmmmh mbona hivi tena
HahaaaaaMy wife unanifanya nazidi kukupenda tu...maana unanifanya nacheka kwa sauti..
Inaboa sana kwakweli, mi sipendi tabia za hivyo sana,Halafu anajifanya haambiliki...kuomba tu radhi yaishe a naona ishu yaani EVIDENCE ipo wazi halafu mtu analeta mbwembwe tu....inaboa
....................
Karibu sanaaaaaSawa shem.
Dakika sifuri naonekana hapo.
Fitna tu hatuna loloteMmmmh mbona hivi tena
Ya kweli hayaUsiogope brother mambo ya kawaida tu.
Why fitna Dada?Fitna tu hatuna lolote
Peace and loveCopy that.