manuu
JF-Expert Member
- Apr 23, 2009
- 4,064
- 10,745
Pamoja sna mkuu usitie shaka soon tutapiga show ya ukweli pande hizo...Mnazingua sasa.
Pamoja sna mkuu usitie shaka soon tutapiga show ya ukweli pande hizo...Mnazingua sasa.
Jimena leo cjakaa sana humu leo nlikuwa tight, nipeni jina au link ya huyo mjingaCc manuu
amaizing
Th Name
jambilo
EMMYGUY
lizziebettie
youngblood
Na wote siwezi kuwatag wote ila muione hii kitu
Lini sasa.Pamoja sna mkuu usitie shaka soon tutapiga show ya ukweli pande hizo...
Ntatembelea mkuu,Kuna mzigo wako PM
................
Sanaaaaa mpaka raha yaniMan utd na Young Africans burudani sana
Kama hutojali nakuomba rudi nyuma page mbili tatu utamuona anavyojibu jeuri wakati hadi screenshot inamsutaJimena leo cjakaa sana humu leo nlikuwa tight, nipeni jina au link ya huyo mjinga
Yap, goliondoi oneNimeona hii mkuu unawahi round about ule Central ama Sanawari...Micn sana hii mitaa mkuu..
Kuna swali nilikuliza hujanijibuKuna mzigo wako PM
................
Ushauri kwa makapuku wenzanguJimena leo cjakaa sana humu leo nlikuwa tight, nipeni jina au link ya huyo mjinga
HoyeeeeeAmazing ndo kaingia TOP 20 LIKES now
Makapuku oyeeeeee
![]()
![]()
![]()
![]()
.....................
Notification shida ...tuwe tunashtuana hapaKuna swali nilikuliza hujanijibu
IgweeeeeeeeeeeeeeeeeHoyeeeee
Sasa tuingize wengine wapya 3 ili mange atoke kabisa
Kijana hebu jiandae kuna safari ya arusha national park nataka uwepoLini sasa.
Hivi arusha national park ndiyo Momela ama vipi.Kijana hebu jiandae kuna safari ya arusha national park nataka uwepo
Poa poaNotification shida ...tuwe tunashtuana hapa
..............