Glenn
JF-Expert Member
- May 23, 2015
- 70,485
- 167,265
mjibu mpumbavu sawa na upumbavu wake, full stopWakuu tafadhali nawaomba mpunguze jazba kugombana hakuna faida yeyote zaidi ya kubomoa tuliyojenga.
Amani itawale tafadhali.
mjibu mpumbavu sawa na upumbavu wake, full stopWakuu tafadhali nawaomba mpunguze jazba kugombana hakuna faida yeyote zaidi ya kubomoa tuliyojenga.
Amani itawale tafadhali.
Naona mahaba mahabaniiii
Shemeji Malindi hapa unaweza fika?Mbona hatualikani shemeji.
Weekend unakula mwenyewe.
Kweli kabisa brother mkajifungia mpaka jioni hii ndio mnaonekana.....Kweli kabisa Sister ntamwambia ila hali ya hewa leo pamekucha na baridi sana na ukichukulia ni wkend....
Hakuna aliyenuna wifiNaona mahaba mahabaniiii
Nani kanuna??

Mkuu Mbulu tafadhali nakuomba njoo huku tuyajenge yaliyobomoka.Tunaongelea 29k na hatujawahi kwenda kinyume na makubaliano, sasa how come we mwenzetu uende ukajifanye ndo msemaji wa Makapuku tena nje ya KF???
Serious unasema eti tumeanza kujiona mastaa??? Kwani ungepiga kimya kama sisi ingekuwaje?
Jamaa katusema vibaya huko pembeni na ushahidi nimeweka hataki kukubali wala kuomba radhi analeta uzushi uzushi tu anafikiri sisi Makapuku hatujielewi au hii thread sawa na thread zingine
Mwambie a jirekebishe sio kusema Ameen
...............
mjibu mpumbavu sawa na upumbavu wake, full stop
DoneHuyu jimena atamtoa roho yule mzee.
Nadhani huku hatarudi tena.Done
SanteeeeeeeeeeHakuna aliyenuna wifi
Sie kila siku ni furaha![]()
Nasikia hujaonekana toka ulipomtoa pale #1Nadhani huku hatarudi tena.
Hahahaha.Nasikia hujaonekana toka ulipomtoa pale #1
Hapo sawa shemeji, sasa ngoja nitafute viwalo si unajua malindi kuna watoto wakali balaa nisije nikaonekana mrugaruga.Tupo mitaa yenu shem
Karibu tutoe loki![]()
Sana ila ifike mahali tusifuge maradhi, mtu akileta usnitch huko mtaa wa 7 kisha anakuja hapa anajifanya ye bikira maria anaambiwa ukweli sio kumlea lea tu na kufuga maradhiHahahaha.
Vijana wabaya sana.
Copy that.Sana ila ifike mahali tusifuge maradhi, mtu akileta usnitch huko mtaa wa 7 kisha anakuja hapa anajifanya ye bikira maria anaambiwa ukweli sio kumlea lea tu na kufuga maradhi
hili naomba lifanyiwe kazi tafadhali
Halafu anajifanya haambiliki...kuomba tu radhi yaishe a naona ishu yaani EVIDENCE ipo wazi halafu mtu analeta mbwembwe tu....inaboaSana ila ifike mahali tusifuge maradhi, mtu akileta usnitch huko mtaa wa 7 kisha anakuja hapa anajifanya ye bikira maria anaambiwa ukweli sio kumlea lea tu na kufuga maradhi
hili naomba lifanyiwe kazi tafadhali