BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
[emoji113] [emoji113] [emoji113][emoji113][emoji113][emoji113]
[emoji113] [emoji113] [emoji113][emoji113][emoji113][emoji113]
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Ameen mke mwee sitakusahau
Jichekee na wewe[emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji120] [emoji120] Bless u[emoji120] [emoji120] [emoji120] shukrani mama mchuchu
[emoji4] [emoji4] [emoji4]Mama huyooo
Kukuona tu moyo unafarijika baraka zako[emoji4] [emoji4] [emoji4]
SawaJichekee na wewe
[emoji120] [emoji120] [emoji120][emoji120] [emoji120] Bless u
Muziki: Wapi Noah Zetu
Kwanza hapa nina furaha sana maana ninaanza kwa kukusalimia Kapuku wewe mheshimika na kisha nakujulisha tu siku yangu ilikuwa nzuri, sijui wewe siku yako ilikuwaje lakini ile kukuona tu hapa basi najua kabisa uko poa.
Hivi mnakumbuka, sijui kama niliwaambia, baada ya anko kuninunulia simu aliitwa kimyakimya kwenye ile kamati ya makinikia na mnavyomjua anko tena badala ya kumanikia yeye akachikichia na CM. Nisikuchoshe, alichosema ni kuwa kila mmoja atapata Noah nami nikajichagulia kabisa rangi ya hudhurungi na nikaenda veta kusomea udereva na cheti nikapata nina C tatu. Sasa ninamtafuta anielekeze je Noah yangu nitaipataje?
Muziki sasa, juma la kicongo linaendelea. Mniwie radhi Niko busy natengeneza uwanja wa kupaki Noah yangu.

Sawa shem mambo ya probalilty of events to occur nd not to occurEbu usinikatishe tamaa shem niache
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Husna unaonaje ukiendelea kdogo
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Husna santeee ebu endelea jamaan
Ung'eng'e wenyewe una lafudhi ya kusukuma[emoji1] [emoji1]Mkulu leo anabonga ung'eng'e [emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Yes mamii,[emoji1] [emoji1]Hahahah..Husobe
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] akikujibu niite mke mweeWiki hii tumehamia congo eeeh,hvi binamu baba mchuchu Werrason amejichimbia wapi
[emoji4][emoji4]Sawa shem mambo ya probalilty of events to occur nd not to occur
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ndo tusaidianeee sasa shem
Jamani nyie warembo mkuje mm sio lee empire