Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,977
Ahahhahah lakini mm sijakukana ujue uliniaga hukoKama wewe unavomkana maka na mama mchungaji
Ahahhahah lakini mm sijakukana ujue uliniaga hukoKama wewe unavomkana maka na mama mchungaji
Kwani kuna nini shem jamanShem wewe hapana aiseeeh umemvimbisha matako maka kumbe ulikuwa ushabugia vitu
Alafu na maka ukamwambia nimezma ....Acha bwana hivi si ulizima data lakini shem
Kweli mkuu hujakosea me ni wa huko kanyigo
Shem huyo atakuwa baba d ujue nilivyolala kaingia ebu nitamuuliza sijui amefanyajeMbavu zangu shem kweli ulidukuliwa usku
Nimeshindwa shem
Kazi ipoShem jaman mbona unanicheka kwani baba d aliharibu
Yaan wewe unapiga debe ili binamu obe amwache mama basi mama atakuwa nao wote wawili

Ntake radhi lyon!!Shem wewe hapana aiseeeh umemvimbisha matako maka kumbe ulikuwa ushabugia vitu
Jaman si kanyigo ya misenyiLeo utaniuaa ..kanyigo ipi sasa
Bhas mm nilisoma labda kule kijiweniKwani kuna nini shem jaman
Unaanzaje kujikana na wakati ndio nyumbaniSafi sana mkuu vizur kujikana noma
Ifunmwe oneka chinyama...Ifunweeee muuuùumaakaaaa
Saa 7 acha utani shem niache kukuruka na baba d nichatAlafu na maka ukamwambia nimezma ....
Hivi mbona saa saba ukuniangalia tena
Hivi haujamuelewa maka
We fukunyua tu makaburi, ustaajabu ya musa, uyaone ya firauni.Ebu niambie maka aliharibu