Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
2007 - Lucky Dube, mwanamuziki alifariki
Mpendwa obe baadae unipigie nyimbo yake ya "REMEMBER ME"
Mpendwa obe baadae unipigie nyimbo yake ya "REMEMBER ME"
R i p dube2007 - Lucky Dube, mwanamuziki alifariki
Mpendwa obe baadae unipigie nyimbo yake ya "REMEMBER ME"
AsanteNa hapo ndio mwisho kwa Leo
Ujumbe: maka kumi kazana umpate BH
By husobe
YEREMIA 29.11 .....Maana nayajua HusnaaaaNa hapo ndio mwisho kwa Leo
Ujumbe: maka kumi kazana umpate BH
By husobe

AmenYEREMIA 29.11 .....Maana nayajua
mawazo ninayowawazia ninyi, asema BWANA, ni mawazo ya amani wala si ya mabaya, kuwapa ninyi tumaini siku zenu za mwisho.
12 Nanyi mtaniita, mtakwenda na kuniomba, nami nitawasikiliza.
13 Nanyi mtanitafuta na kuniona, mtakaponitafuta kwa moyo wenu wote.
14 Nami nitaonekana kwenu, asema BWANA,
Alirudia kazi les wanyika..James dandu ( mtoto Wa dandu )
Na kibao chake matata kabisaa
Cha " sina makosa"
Ndio.. tusikeshe vipi!?Duuu mmekeshaaa

Nawe pia mpendwa!Mtakatifu Mtakatifu Mtakatifu Bwana Mungu wa Majeshi Asante kwa Upendo wako na kutuamsha tukiwa wazima na Afya njema,wapo watu wengi walitamani kuiona siku ya leo Baba hawajaweza ,tunatoa Sifa ,Shukurani,Heshima na Utukufu kwa Neema hii.
Tunakuja Mbele zako tukikukabidhi siku ya leo ya Jumatano 18 Oktoba 2017 ikawe njema na ya kukupendeza.
Tunaomba toba kwa yote tuliyokosea.Kwa mawazo ,maneno na matendo Uturehemu twakusihi
Tuimarishe ili tukupende,tukuheshimu na kuishi maisha ya kukupendeza wewe tu.
Tunaikabidhi Nchi yetu iwe na Amani.
Tunazikabidhi Familia zetu zidumishe Upendo na Mshikamano.
Tunawakabidhi wagonjwa na wenye shida mbalimbali majumbani na mahospitalini Baba ukawaponye miili na roho pia.
Baba wasafiri wote majini,nchi kavu,angani ukawe nao waende na kurudi salama.Na familia zote Baba mwema zikawe salama na Amani itawale.
Watoto wetu popote walipo makazini,majumbani na mashuleni ukawasimamie wakawe vichwa si mikia wafanye mambo yote kwa ufanisi na mafanikio.
Baba Mungu tunazikataa kazi zote za shetani zisipate nafasi katika maisha yetu tunazivunja kazi zote za shetani katika jina la Yesu Kristo tunamwaga damu ya Yesu Kristo ikatakase kila pando na kuling'oa na kulitupa kuzimu Mfalme wa Amani.
Tunakabidhi kazi zote za mikono yetu zikapate kibali mbele yako nawale wasio na kazi na shughuli za kufanya Baba wape kazi ili wauone Utukufu wako, tuingiapo na kutoka utubariki.
Baba Asante kwa Matendo yako Makuu yasiyo na mwisho,tunauona ukuu wako siku zote za maisha yetu tunasema Asante Baba na tunaomba uzidi kutuimarisha imani zetu zipande kuwa viwango vya juu ili tuweze kushuhudia matendo yako siku hadi siku.Roho Mtakatifu tutie nguvu.
Nakushukuru maana utatenda yote sawa na mapenzi yako
Katika jina la Yesu Kristo naomba naamini na nashukuru Amen
SIKU NJEMA WAPENDWA MBARIKIWE![]()
Morng nyagei..Good morning lovely family