makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,429
- 108,444
Naona unabeba unaa wa bi tukinao wako..[emoji23] [emoji23]....yeye mwenyewe anajua anayemfaa, koho koho koho , mimi hapa, wakati naandika nikakohoa
Naona unabeba unaa wa bi tukinao wako..[emoji23] [emoji23]....yeye mwenyewe anajua anayemfaa, koho koho koho , mimi hapa, wakati naandika nikakohoa
Sawa mkuu....Husna aachwe, asisumbuliwe.
Ahsante kwa hiki kitu maridad kabisaYou are welcome buddy! Ila mimi sio mopao, huyo ni wewe maana umedhamini mapapers na muziki.
Seriously, hili goma limetulia sana ujue imebidi nilisikize (Mimi si mpenzi sana wa rap) nimependa lyrics na jamaa kajituliza kwenye kughani.
Asante kwa chaguo zuri mdau
We jiongopee tu, imani ndio inafanya yote... Alimfanya suleiman kuongea na sisimiz ndio kushindwa mvua ya maua......mungu hawezi kujishughulisha na hiki unachotaka kunifanyia. Nakuangalia tu.
Ngoja niwasiliane na anko wangu
Husna(bi tukinao) kaishakuharubu.. babu tukinao..[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji124] [emoji124]....pale labda umuwekee oda ya matofari
Unataka amshabikie nani!?....nakuuliza tena mara ya mwisho, unapenda korosho au huzipendi?
Usimshabikie Maka kwenye mambo ya msingi
Anavaa na tena kwake si dela ni tait. nahisi yule ni mmakonde aliyezaliwa naijeria..[emoji23] [emoji23]....vipi anavaa zile mambo ninazopendaga? Na kama anavaa zinamkaa isijekuwa zinakuwa kama zimevaliwa na mhindi. Badala ya kuitwa shanga zinageuka bangili
[emoji23] [emoji23] kwani shululu hayupo..Ulale unono kumbatia mito yako mke mwee
[emoji120] [emoji120] [emoji120][emoji524]MATHAYO 26 40. Akawajia wale wanafunzi, akawakuta wamelala, akamwambia Petro, Je! Hamkuweza kukesha pamoja nami hata saa moja?
41 .Kesheni, mwombe, msije mkaingia majaribuni; roho i radhi, lakini mwili ni dhaifu.
TUKESHE TUKIOMBA HATUJUI SIKU WALA SAA.
[emoji524]MATHAYO 26 40. Akawajia wale wanafunzi, akawakuta wamelala, akamwambia Petro, Je! Hamkuweza kukesha pamoja nami hata saa moja?
41 .Kesheni, mwombe, msije mkaingia majaribuni; roho i radhi, lakini mwili ni dhaifu.
TUKESHE TUKIOMBA HATUJUI SIKU WALA SAA.
Bless u[emoji120] [emoji120] [emoji120]
Thanx mama mchungaji..
Bless u ObeAmen mtumishi, uwe na asubuhi njema
Bless u
AlikuwaGood evening brooh
Ray anaumwa tena?
Morning Morning ..Bless youGood morning lovely family
Nimjulie wapi?! Siangalii TV wala sina insta kwenye simu yangu ni Mimi na kapuku kapuku na mimiNa bibi mwenyewe anachekesha [emoji1][emoji1] kwani humjui
Kutamsubiri saanaNa kigamboni kunamsubiri
Waambie wakanywe mbege wana kiu sana[emoji4] [emoji4]Hapana maneno ya wahenga hayo