Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
James dandu ( mtoto Wa dandu )Duh!! Kisa na mkasa!!
Unanikumbusha ile nyimbo ya hasira za nin we bwana, wataka kuniua bure bwana, huyo si wako nami si wangu, chuki ya nin kati yangu mim na wewe..![]()
![]()
![]()
Na kibao chake matata kabisaa
Cha " sina makosa"