Woyooooooooooo mama yangu mie ukuje huku jaman usikie salaam za maka anakupenda sana me ndio mtoto wake ujue nikikataa mie ujue kwa mama hupiti mama ananisikiliza sana lakini usisahau kumpa maflower huo ndio ugonjwa wake sanaBasi kwa heshima na taadhima naomba hii iwe special kwake.. mwambie makaveli anampenda kichiz
Kwa ajili yake ntamtengenezea bustani kabisa, mwambie aende shule ya msingi mjimwema pale nimemuwekea oda...Mama akupe mauwa jamanmaka uongezee na hivyo
Woooooooooooozaaaaa namuona maka kuwa baba angu jamaaanKwa ajili yake ntamtengenezea bustani kabisa, mwambie aende shule ya msingi mjimwema pale nimemuwekea oda...
Hii ni rasharasha tuuu..
Woyooooooooo mama yangu anapenda na maua ujue maka ebu muwekee maua hapo
Huogopi kuwa na mdingi km mimi shunie!!?Woooooooooooozaaaaa namuona maka kuwa baba angu jamaaan
Kigamboni kwake huko tutaenda kuweka jaman
Kapata aseme jingine..
Tafuta location ya bustan ya eden, ukiipata nataka nimpeleke
Siogopi we ndio mzuri ujue mdingi mshkajiHuogopi kuwa na mdingi km mimi shunie!!?
Km ningekuwa nauwezo.. ningemuombea rain of flowers toka kwa mungu wa mbinguni, mwenye kumiliki kila kitu..Woyooooooooooo mama yangu mie ukuje huku jaman usikie salaam za maka anakupenda sana me ndio mtoto wake ujue nikikataa mie ujue kwa mama hupiti mama ananisikiliza sana lakini usisahau kumpa maflower huo ndio ugonjwa wake sana
We buno laini hili km limewekwa gliselini..Original cha zamani maka mambo hayo eloko oyo acha buana mambo ya kuzungusha bunooo kama we tena bunoo gumu upambane na hali yako tu shem wangu nisamehe tu jaman
Allah atujaze neema n baraka zaid ndugu yangu.. tusiwe wale wenye kumchukiza, tuwr mati ya viumbe vichache alivyoviridhia, atuneemeshe leo na kesho kwenye ufufuo..kweli kabisa
Mie simo shunie..Kweli makahalaf unaweza mfananisha binamu obe na julio hivi
Hallelujah hakuna kinachoshindikana kwa Mungu aliye juu maka tuombe tu itawezekana tuKm ningekuwa nauwezo.. ningemuombea rain of flowers toka kwa mungu wa mbinguni, mwenye kumiliki kila kitu..
Oooh hapo sawa me naipenda eloko oyo jamanWe buno laini hili km limewekwa gliselini..
Ni cha zamani ila masikion mwangu kila siku ni km imetoka jana, sijawahi ichoka, katik cm yangu kuna nyimbo chache muhimh tu, hiyo ni moja wapo.
AmeenAllah atujaze neema n baraka zaid ndugu yangu.. tusiwe wale wenye kumchukiza, tuwr mati ya viumbe vichache alivyoviridhia, atuneemeshe leo na kesho kwenye ufufuo..