makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 36,011
- 104,589
Mourinho wa bongo.. mzee wa kubwabwaja..Mimi napenda sana na ninakufurahia maana hakuna mwingine anayependwa na anko wangu kushinda wewe. Anko wangu kama kocha Julio Alberto Perreira Kihwelo, yeye atazunguuka weeeeee ila mwisho wa siku Simba ndo timu yake. Nje anaendaga kusambaza ufundi
Na hali ni kitu muhimu kuliko mali..... nashukuru Mungu khali yangu ni nzuri kabisa, yaani hapa ninauwezo zaidi wa kutoa mchango wa HALI kuliko MALI.
Tunakigonga cha kina nwankwo kanu na okochaNigerian language
Ulikuwa hujui eeehh... Watakucheka watu, (kwa hisani ya tangazo godoro dodoma)Kumbe mnapikwa...!!
Tuache kidogo, tunakumbuka tulipoenda kupigana vita ya biafra.. lyon alipata demu wa kiyoruba..Mmechetuka
HahahahahaWoyooooooooo mama yangu anapenda na maua ujue maka ebu muwekee maua hapo
Ulikuwa hujui eeehh... Watakucheka watu, (kwa hisani ya tangazo godoro dodoma)
Sio kwa maana hyo bi tukinao, uache unaa!Shunie sio wako banaani Wa Lee empire
[emoji3 najua mm
makaveli sr.huyo mtu pichani ni nani?! Au anafanana na nani?!
Muhahahaha duuh ni mpare nn??
Mbavu zangu maka
Leta khabari jirani..Pamoja jirani
Woyooooooooo mama yangu anapenda na maua ujue maka ebu muwekee maua hapo
Bi tukinao jina la zariSio kwa maana hyo bi tukinao, uache unaa!