Makapuku Forum

Makapuku Forum

Slim shady..bongea rapper kwa marapper wa sasa baada ya nas kwa mimi..

Napenda ngoma zake nyingi ila mockingbird inanikosha ubongo wangu.

Obe kwa hisani yako leta hiki kitu pasina kuingiliana na ratiba zako.
Mockingbird ni ngoma nzuri, jina hili kalitoa kwenye kitabu kinaitwa hivyo. Kizuri sana.

Nitafanya hivyo mdau maana wewe ndo mopao, umedhamini magazeti na utadhamini muziki
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom