Obe
Platinum Member
- Dec 31, 2007
- 10,320
- 35,823
.....first thing first, ulimaanisha inspired, right.ur among peoples enspired me join JF
Kitu cha pili kabla ya cha kwanza, don't let the "inspiration" raise your sentiments, she is taken. FYI
.....first thing first, ulimaanisha inspired, right.ur among peoples enspired me join JF
Toka lini ukatoa mchango wa mali.... nashukuru Mungu khali yangu ni nzuri kabisa, yaani hapa ninauwezo zaidi wa kutoa mchango wa HALI kuliko MALI.
Binamu jaman una niniiiMimi napenda sana na ninakufurahia maana hakuna mwingine anayependwa na anko wangu kushinda wewe. Anko wangu kama kocha Julio Alberto Perreira Kihwelo, yeye atazunguuka weeeeee ila mwisho wa siku Simba ndo timu yake. Nje anaendaga kusambaza ufundi
Kama kawapata wawili wote wa kwangu haendi kokote si kwa teller wala kwa mdogo wa mama ashura hivi binamu anko wako kweli alikwambia habari za kukuKwani hamkumwambia mjomba aje na kuku wa kienyeji? Anko aliniambia na sasa mimi nimempata mmoja yeye kawapata wawili mmoja wako mwingine hajaamua ampeleke kwa teller au tolu
Jaman binamu mbona sasa unanifanyia hivi....,hujanikosea wala sijakukosea aunty yangu unayenisaidiaga kwenye mambo mengi. Asante sana kwa moyo huo huo nami sitakuangusha.
Tupo mama wenger za kwakoJamani mpo wapendwa wangu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].....ukijazika upepo kama puto anko wangu anapita na kisindano rungu chake, mara paap kifuatacho aitivii
Mie sijambo dearTupo mama wenger za kwako
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Binamu jaman una niniii
Za kuadimika jaman karibu sanaMie sijambo dear
Me binamu yenu kanishinda [emoji134][emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mnawezana na ankoJaman binamu mbona sasa unanifanyia hivi
HahahahaMe binamu yenu kanishinda [emoji134]
Me binamu yenu kanishinda [emoji134]
Na siee??Kwa kweli hawa anko zangu wamenishinda.
Asantee[emoji56][emoji3] [emoji3] [emoji3] pole
[emoji1] [emoji1] [emoji1] obe wangu jaamani uchoyo huo saasa.... nashukuru Mungu khali yangu ni nzuri kabisa, yaani hapa ninauwezo zaidi wa kutoa mchango wa HALI kuliko MALI.
Mh!!ur among peoples enspired me join JF
Mimi simuwezi shemMnawezana na anko
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Mimi napenda sana na ninakufurahia maana hakuna mwingine anayependwa na anko wangu kushinda wewe. Anko wangu kama kocha Julio Alberto Perreira Kihwelo, yeye atazunguuka weeeeee ila mwisho wa siku Simba ndo timu yake. Nje anaendaga kusambaza ufundi