marinesniper
Member
- Oct 14, 2017
- 24
- 93
[QUOTE="salama mkuu
salama sema i am a new comerHahaa.. vip hali mkuu!!
Asante sanaTupate dondoo za magazeti ya leo kwa udhamini mnono wa mama Mchungaji
Ubarikiwe sana Mkuu ShululuTupate dondoo za magazeti ya leo kwa udhamini mnono wa mama Mchungaji
Morning mkuuMorning kf family
Ubarikiwe MakaZamu yangu sasa kulala, amkeni wote mniachie kitanda na mie nijifarague.. nipate kujimwaya mwaya
BlessingsGood alfajir to u makapuku wendhanguuu..![]()
![]()
![]()
Mungu akusaidie upate usingizi MakaWa mwisho kulala, wa kwanza kuamka.. utafikiri nalala sebuleni..
HahahaMama mchungaji vipi hali.. naona post saa 9, vipi mpendwa umetoboa nin au umekesha kwenhe maombi...
Au uliamka kwenda kushubara![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Morning kaka, vip hali ndugu yangu!?Good morning mkuu
Ahsante, twakupenda pia mama mchungaji.Tuombe
Bwana Yesu tuna kila sababu ya kusema asante kwa ajili ya siku njema ya J.mapili ambayo umetupa leo.
Asante kwa ulinzi wako Mungu Mkuu.
Umetulinda Baba na hila zote za adui
Na umetuamsha tukiwa salama.
Mungu J mapili ya leo tunakuomba ukaonekane ktk lbada, zote
Mungu kutana na haja za mioyo yetu
Sema nasi Mungu kupitia neno lako Jehova.
Watumie watumishi wako ktk Nguvu na Uweza wa Roho Mtakatifu
Bwana ukawaponye wagonjwa ,waliovunjika moyo Mungu ukawafariji Bwana.
Asante Mungu kwa kuwa utakuwa nasi ktk Jina la Yesu Kristo wa Nazareti
Amen.
SIKU NJEMA IBADA NJEMA WAPENDWA WANGU..NAWAPENDA SANA SANA![]()
![]()
Poa, ni vipi jirani!?Niaje jirani
Morning maka!Good alfajir to u makapuku wendhanguuu..![]()
![]()
![]()
Amen,nawe pia mpendwa ktk Bwana!Tuombe
Bwana Yesu tuna kila sababu ya kusema asante kwa ajili ya siku njema ya J.mapili ambayo umetupa leo.
Asante kwa ulinzi wako Mungu Mkuu.
Umetulinda Baba na hila zote za adui
Na umetuamsha tukiwa salama.
Mungu J mapili ya leo tunakuomba ukaonekane ktk lbada, zote
Mungu kutana na haja za mioyo yetu
Sema nasi Mungu kupitia neno lako Jehova.
Watumie watumishi wako ktk Nguvu na Uweza wa Roho Mtakatifu
Bwana ukawaponye wagonjwa ,waliovunjika moyo Mungu ukawafariji Bwana.
Asante Mungu kwa kuwa utakuwa nasi ktk Jina la Yesu Kristo wa Nazareti
Amen.
SIKU NJEMA IBADA NJEMA WAPENDWA WANGU..NAWAPENDA SANA SANA![]()
![]()
Na kwako pia kaka...View attachment 609765Asubuhi njema makapuku wote
Karibu mkuu.. nadhan kuna muongozo page ya kwanzasalama sema i am a new comer
Tubarikiwe sote mpendwa wanguUbarikiwe Maka
Amin, rabil al amin mpendwa wanguMungu akusaidie upate usingizi Maka