marinesniper
Member
- Oct 14, 2017
- 24
- 93
hahaha mkuu nimeamka usiku nikakutana na replay yako so funnyMama mchungaji vipi hali.. naona post saa 9, vipi mpendwa umetoboa nin au umekesha kwenhe maombi...
Au uliamka kwenda kushubara![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
hahaha mkuu nimeamka usiku nikakutana na replay yako so funnyMama mchungaji vipi hali.. naona post saa 9, vipi mpendwa umetoboa nin au umekesha kwenhe maombi...
Au uliamka kwenda kushubara![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Hahaa.. vip hali mkuu!!hahaha mkuu nimeamka usiku nikakutana na replay yako so funny
Good morning mkuuGood alfajir to u makapuku wendhanguuu..![]()
![]()
![]()
Tuombe

Niaje jiraniGood alfajir to u makapuku wendhanguuu..![]()
![]()
![]()
Morning mkuuGood morning mkuu
AmenTuombe
Bwana Yesu tuna kila sababu ya kusema asante kwa ajili ya siku njema ya J.mapili ambayo umetupa leo.
Asante kwa ulinzi wako Mungu Mkuu.
Umetulinda Baba na hila zote za adui
Na umetuamsha tukiwa salama.
Mungu J mapili ya leo tunakuomba ukaonekane ktk lbada, zote
Mungu kutana na haja za mioyo yetu
Sema nasi Mungu kupitia neno lako Jehova.
Watumie watumishi wako ktk Nguvu na Uweza wa Roho Mtakatifu
Bwana ukawaponye wagonjwa ,waliovunjika moyo Mungu ukawafariji Bwana.
Asante Mungu kwa kuwa utakuwa nasi ktk Jina la Yesu Kristo wa Nazareti
Amen.
SIKU NJEMA IBADA NJEMA WAPENDWA WANGU..NAWAPENDA SANA SANA![]()
![]()