makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 37,429
- 108,445
Morning dumejeuri..Morning maka!
Morning dumejeuri..Morning maka!
ndiyo mkuu ahsante sanaKaribu mkuu.. nadhan kuna muongozo page ya kwanza
Karibu sana mkuu.
Jiskie huru mkuu, chati uwezavyo kasoro kutusiana tu mkuu..ndiyo mkuu ahsante sana
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]Ubarikiwe sana Mkuu Shululu
Poa kabisa jirani, za mwanzaPoa, ni vipi jirani!?
[emoji109] [emoji109] [emoji109]Na kwako pia kaka...
Karibu mkuundiyo mkuu ahsante sana
Huku fresh tuu, vip huko mkuu!?Poa kabisa jirani, za mwanza
Huku poa, joto tu limeanzaHuku fresh tuu, vip huko mkuu!?
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Uko sahihi.
But mimi naitamka kama mkulu
[emoji120] [emoji120] [emoji7] [emoji7]Ahsante, twakupenda pia mama mchungaji.
Miez kama hii nikiwa sina ishu huwa nashinda beach zaid,nakuwa kama rasta napunga zangu upepo.. nabeba kamkeka kangu kituo beach kurud ni jion au saa 10 km naenda mpirani.. joto ni kero kubwa kwangu mie, hatupikiki chungu kimoja..Huku poa, joto tu limeanza
[emoji8] [emoji8]