Mkushi Da Gama
JF-Expert Member
- Jun 23, 2015
- 3,692
- 4,995
MorningMorning wadau wa nguvu wa KF
MorningMorning wadau wa nguvu wa KF
Binamu Obe anajuaWapi huko
Poa ngoja ajeBinamu Obe anajua
Poa mzimaPoa ngoja aje
Mi mzima kabisa mashaka na ofu kwakoPoa mzima
Good afternoon mkushi wa kusiMorning
UbarikiwwAsante sana mama kwa neno la uzima
Shikamoo mama,uwe na mchana mwemaUbarikiww
Nilikuwa na huzuni huzuni leo. Sala hii imeniinua. Mungu tayari Ameshakutana na hitaji langu. Asante sana mtumishi mwema !!!*Tuombe*
Baba uliyeketi mahali palipo inuka,
Tunasema asante kwa kutupa kibali cha kuiyona siku hii mpya siku ambayo kuanzia kuumbwa kwa dunia haijawa kuwepo.
Wengi walikuwa wamepanga kuiyona siku hii lakini Baba hawakufanikiwa kuiyona.
Ila sisi Baba kwa rehema zako na upendo wako tumeweza kuiyona.
Baba tunajua ya kwamba sisi sio bora sana hadi tuweze kufika siku kama hii bali Baba unakusudi lako juu yetu.
Baba tembea na kila mmoja katika mapito yake ya kila siku
Mungu angalia hitaji la Baba huyu ukapate kumbariki
Baba angalia hitaji la Mama huyu ukapate kumsaidia sawasawa na haja ya moyo wake.
Mungu kutana na hitaji la kijana huyu
Mungu kutana na hitaji la bint huyu
Mungu kutana na hitaji la Mjane huyu
Mungu kutana na hitaji la mkulima huyu.
Mungu kutana na hitaji la mfanyakazi huyu
Mungu kutana na hitaji la wagonjwa hawa.
Mungu kutana na hitaji la hawa ambao hawana kazi
Bwana wabariki na uwaonekanie katika mapito yao
Mungu mbariki Raisi wetu na viongozi wote wa serekali.
Mungu wabariki Wachungaji na Wahubiri woote wanaolihubiri jina lako takatifu.
Asante Bwana kwa kuwa utaenda kutenda sawasawa na upendavyo.
Nikatika jina la YESU KRISTO na watu wote tuseme
*AMENI*
SIKU NJEMA WAPENDWA![]()
Pole na hongeraNilikuwa na huzuni huzuni leo. Sala hii imeniinua. Mungu tayari Ameshakutana na hitaji langu. Asante sana mtumishi mwema !!!
Hata hilo zogo lisiwe la kuporomosha matusi. Kwema?Aisee.
Nguvu nyingi sana zinatumika, kwa hali hii tutabaki kuchati kupiga zogo tu
Wakubwa hawataki kuambiwa ukweli na ukimwambia anasema unamtukana, basi sisi tutabaki kivyetu na kuwaacha wao.Hata hilo zogo lisiwe la kuporomosha matusi. Kwema?
Wakubwa hawataki kuambiwa ukweli na ukimwambia anasema unamtukana, basi sisi tutabaki kivyetu na kuwaacha wao.
Labda na sisi tukitukanana watatukamata?





UBARIKIWE SANA SANA MUNGU WETU NI MWEMA ANAJUABHATA IDADI YA NYWELE ZETU HAKIKA HATA MAPITO YETU..MUNGU AENDELEE KUJUTIA NGUVUNilikuwa na huzuni huzuni leo. Sala hii imeniinua. Mungu tayari Ameshakutana na hitaji langu. Asante sana mtumishi mwema !!!

Good evening MwifwaGood evening Kapuku
*WANA HERI WALIO NA HEKIMA*
Heri walio kamili njia zao, Waendao katika sheria ya Bwana.
Heri wazitiio shuhuda zake, Wamtafutao kwa moyo wote.
Naam, hawakutenda ubatili, Wamekwenda katika njia zake.