eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,356
- 16,400
Siku zote ukiamka poa lazima umshkuru Mungu mkuu kwa kukuamsha salama na afya tele
Habari yenu huko mliko wakuu
Habari yenu huko mliko wakuu
Marahaba mwanangu za uzima upo ubarikiweMama yangu mie shikamoo Mama![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Tuombe*
Atakuwa katekwa na wavaa shangaMakabeli yuko wapi
Ameni*Tuombe*
Baba uliyeketi mahali palipo inuka,
Tunasema asante kwa kutupa kibali cha kuiyona siku hii mpya siku ambayo kuanzia kuumbwa kwa dunia haijawa kuwepo.
Wengi walikuwa wamepanga kuiyona siku hii lakini Baba hawakufanikiwa kuiyona.
Ila sisi Baba kwa rehema zako na upendo wako tumeweza kuiyona.
Baba tunajua ya kwamba sisi sio bora sana hadi tuweze kufika siku kama hii bali Baba unakusudi lako juu yetu.
Baba tembea na kila mmoja katika mapito yake ya kila siku
Mungu angalia hitaji la Baba huyu ukapate kumbariki
Baba angalia hitaji la Mama huyu ukapate kumsaidia sawasawa na haja ya moyo wake.
Mungu kutana na hitaji la kijana huyu
Mungu kutana na hitaji la bint huyu
Mungu kutana na hitaji la Mjane huyu
Mungu kutana na hitaji la mkulima huyu.
Mungu kutana na hitaji la mfanyakazi huyu
Mungu kutana na hitaji la wagonjwa hawa.
Mungu kutana na hitaji la hawa ambao hawana kazi
Bwana wabariki na uwaonekanie katika mapito yao
Mungu mbariki Raisi wetu na viongozi wote wa serekali.
Mungu wabariki Wachungaji na Wahubiri woote wanaolihubiri jina lako takatifu.
Asante Bwana kwa kuwa utaenda kutenda sawasawa na upendavyo.
Nikatika jina la YESU KRISTO na watu wote tuseme
*AMENI*
SIKU NJEMA WAPENDWA![]()
Amen*Tuombe*

Morning mkuuMorning Kapuku