Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,006
- 150,541
Umeonaa...mimi sina wasiwasi hata kidogo anko, nawashangaa hawa wanaolinganisha mwandiko wako na wa Lee, hawajui kuwa kuna ngao ya maji na ngao ya kidonge
Umeonaa...mimi sina wasiwasi hata kidogo anko, nawashangaa hawa wanaolinganisha mwandiko wako na wa Lee, hawajui kuwa kuna ngao ya maji na ngao ya kidonge
Si ndo maana ukawepo...mimi na wewe anko ni mambo ya ukoo, ukitoka wewe naandamana Jumapili naenda kwa mwadhama Pengo namwambia awasute wanaotaka katiba mpya, no wanaotaka kukufananisha na anko mkubwa.
Nikitoka hapo naenda kwa Sheick Ponda bin Issa tufanye press conference
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] dem yupi tena...hawakumkosea, yeye ndo aliwakosea! Alitangaza kumuoa demi, sasa wananzengo wakakasirika wakaamua kumsomea albadiri, inakuwaje ampe pressure aunty yangu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ya kwwli hayo ?Mfyuuuuuuuuu zako na harudi humu
Anko mbona ata ukaribisho hukunipa...sawa sawa kabisa, halafu bora anko wangu mkubwa katoka maana alikuwa anaharibia sana mambo yangu. sasa hivi niko huru. Ila huyu anko mdogo dadaake ambaye ni mama yangu ashamshindwa tabia anaitwa King Mswati
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Asante binamu ila ujue unapenda kuniuzi
Eti matani yao ya kapuku huku wanaitana baby mfyuuuu zao[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ya kwwli hayo ?
Kama nakuona[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Acha ninyamaze[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] dem yupi tena
Sema ukweli kama ulikua na mkwe mwenzaEti matani yao ya kapuku huku wanaitana baby mfyuuuu zao
[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Sina mke mwenza mimiSema ukweli kama ulikua na mkwe mwenza
Nalijuaa hilooSina mke mwenza mimi
[emoji4][emoji4]Nalijuaa hiloo
Nakulaaa mimi apa[emoji4][emoji4]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Ewaaaa hayo ndio maneno shem hatoki mtu humu na baba d akijiskia kuingia ataingia na I'd yangu au hiyo yako yaan wawe na Amani kabisa
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Kuna mtu asiyejua uhandishi wa baba d me wananichosha tena leo mwisho wasiniulize tena akili zangu nazijua mwenyewe jaman
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Nyie watu wasumbufu mpaka raha
[emoji113] [emoji113]Jaman mdogo akee baba d mbona hiviii I'd ya baba d imeunganishwa na hii imekuwa moja baba d ameshatoka mpaka akasema I'd yake iunganishwe na mdogo akee hii kitu naifunga nisiulizwe tena
Demi jeSina mke mwenza mimi