Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Nimwambie akutoe na wewe??Nitampa binamu ujue maamuzi ya kutoka jf ni maamuzi magumu magumu sana
Nimwambie akutoe na wewe??Nitampa binamu ujue maamuzi ya kutoka jf ni maamuzi magumu magumu sana
Ewaaaa hayo ndio maneno shem hatoki mtu humu na baba d akijiskia kuingia ataingia na I'd yangu au hiyo yako yaan wawe na Amani kabisaNa hayupo wa kunitoaa labda anko obe![]()
![]()
![]()
Makaveli yuko wapi mshikaji wangu hanaga makuu
Hivi walimkosea nn make mm hajanipa full infoYaan hatakagi kabisa nikianza kumpa habari za huku hawajui tu hawa watu
We malizana nao tu huko hukoBhasi ole wako mtu aniulize tena na uzuri hii sio lee empire
Anitoe mara ngapiiiii ubishi wangu tu huu wa kuingia ingia hukuNimwambie akutoe na wewe??
Ahahah ebu tutamuulizaHivi walimkosea nn make mm hajanipa full info
Anko na wewe una wasiwasi na anko wako mkubwa au mdogo ?? Mimi babake mdogo d
Hebu uko hivi una niniii lakini ebu niache mie
Najua mbona![]()
![]()
kaza buti utatusua
Halaf miandiko ni tofautiiii yaan wa baba d bila kuuliza unajua tu huyu ni Lee empire kivuruge...mimi sina wasiwasi hata kidogo anko, nawashangaa hawa wanaolinganisha mwandiko wako na wa Lee, hawajui kuwa kuna ngao ya maji na ngao ya kidonge
Na hayupo wa kunitoaa labda anko obe![]()
![]()
Makaveli yuko wapi mshikaji wangu hanaga makuu
...mimi sina wasiwasi hata kidogo anko, nawashangaa hawa wanaolinganisha mwandiko wako na wa Lee, hawajui kuwa kuna ngao ya maji na ngao ya kidonge

Halaf miandiko ni tofautiiii yaan wa baba d bila kuuliza unajua tu huyu ni Lee empire kivuruge

Hivi walimkosea nn make mm hajanipa full info
Muziki: Ijumaa ya Kufurahi
U khali gani mdau mwenzangu wa Jukwaa hili tunalolipenda KF, ninakusalimia nikiwa na furaha sana leo. Furaha yangu haijaja kama ajali sio kama mjomba wangu ambaye yeye jana alifurahia simu kuisha chaji. Anajitafutia sababu ya kujitekesha na apate kisingizio cha kujitetea kwa aunty yangu. Nitamshauri shangazi kumnunulia power bank.
Mnajua wote Ijumaa sio siku ya kuleta mambo magumu magumu maana kuna vichwa vya treni vinauzwa na mwenyewe hajulikani sasa itabidi tujipange tuvinunue tukishamaliza kulipwa hela za makinikia. Wale wote mnaosubiri Noah msahau, tushahamisha magoli, tunanunua vichwa vya treni. Yaani tulivinunua na re-nunua tena. Unashangaa, hii ndo furahiday
Muziki sasa, mambo ya bakulutu leo huku naangusha mojamoja na wewe kama sio mlipa kodi jiagizie Azam painapo. Nwa kwa hisani ya mpendwa wangu tunaburudika hapa

...hawakumkosea, yeye ndo aliwakosea! Alitangaza kumuoa demi, sasa wananzengo wakakasirika wakaamua kumsomea albadiri, inakuwaje ampe pressure aunty yangu
