Makapuku Forum

Makapuku Forum

Halaf miandiko ni tofautiiii yaan wa baba d bila kuuliza unajua tu huyu ni Lee empire kivuruge


...sawa sawa kabisa, halafu bora anko wangu mkubwa katoka maana alikuwa anaharibia sana mambo yangu. sasa hivi niko huru. Ila huyu anko mdogo dadaake ambaye ni mama yangu ashamshindwa tabia anaitwa King Mswati
 
...mimi na wewe anko ni mambo ya ukoo, ukitoka wewe naandamana Jumapili naenda kwa mwadhama Pengo namwambia awasute wanaotaka katiba mpya, no wanaotaka kukufananisha na anko mkubwa.

Nikitoka hapo naenda kwa Sheick Ponda bin Issa tufanye press conference
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Muziki: Ijumaa ya Kufurahi

U khali gani mdau mwenzangu wa Jukwaa hili tunalolipenda KF, ninakusalimia nikiwa na furaha sana leo. Furaha yangu haijaja kama ajali sio kama mjomba wangu ambaye yeye jana alifurahia simu kuisha chaji. Anajitafutia sababu ya kujitekesha na apate kisingizio cha kujitetea kwa aunty yangu. Nitamshauri shangazi kumnunulia power bank.

Mnajua wote Ijumaa sio siku ya kuleta mambo magumu magumu maana kuna vichwa vya treni vinauzwa na mwenyewe hajulikani sasa itabidi tujipange tuvinunue tukishamaliza kulipwa hela za makinikia. Wale wote mnaosubiri Noah msahau, tushahamisha magoli, tunanunua vichwa vya treni. Yaani tulivinunua na re-nunua tena. Unashangaa, hii ndo furahiday

Muziki sasa, mambo ya bakulutu leo huku naangusha mojamoja na wewe kama sio mlipa kodi jiagizie Azam painapo. Nwa kwa hisani ya mpendwa wangu tunaburudika hapa

Asante binamu ila ujue unapenda kuniuzi
 
Back
Top Bottom