Husna Muba
JF-Expert Member
- Jan 28, 2017
- 14,524
- 44,585
Kwani unaondoka?!,,,,basi akinijibu usisahau kunitag
kako wapi siku hz?
Na ww hvohvo mfyuuuuuuuMfyuuuuu unaonaga rahaa kusalimia mume wa mtu leo unasalimiwa wewe unapotezea
Hata mie sinamie cna roho mbaya mbona
Kwani unaondoka?!
Jukwaa la chini ndo wapi binamu...unaendaga lile jukwaa la chini? Labda aweza kuwa huko
Jukwaa la chini ndo wapi binamu
Mtumie tu picha me mwenyewe mgeni binamu silijuiJukwaa la chini ndo wapi binamu
...hulijui? Heh, kumbe wewe mgeni humu, hebu muulize aunty yangu labda analijua. Asipolijua nitakutumia picha
Kho kho kho...niende wapi nikuache wewe hapa? Tupo pamoja tukae hadi tukipata hamu tusepe.
Hamu ya kuondoka kwenda kulala
Nitumie pcha binamu...hulijui? Heh, kumbe wewe mgeni humu, hebu muulize aunty yangu labda analijua. Asipolijua nitakutumia picha
Mtumie tu picha me mwenyewe mgeni binamu silijuihalaf huyo akienda utampoteza
Hili ndio la maana halaf mfate basi yule mtu kuhusu season 4 bhasiNitumie pcha binamu
anitumie tu pcha
Atatutumia mwenyewe mke mweee halafu alisema wengine wacjue kama anatutumia mwenye nayo anaiuza ileHili ndio la maana halaf mfate basi yule mtu kuhusu season 4 bhasi
Sasa nani anajua nilivyoongea hivyoAtatutumia mwenyewe mke mweee halafu alisema wengine wacjue kama anatutumia mwenye nayo anaiuza ile
Binamu obeeee naomba ukuje uniwekee nyimbo ya veemoney naomba uniroge