Makapuku Forum

I love you too, yaani kwa namna ninavyokupenda maelezo tu na vitendo havitoshi kueleza. Hapa ili ijitosheleze nawaachia wanaoumizwa na sisi ndo waeleze
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
I love you too, yaani kwa namna ninavyokupenda maelezo tu na vitendo havitoshi kueleza. Hapa ili ijitosheleze nawaachia wanaoumizwa na sisi ndo waeleze
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji106]
 
Hahaaaa haka kajamaa bwana kalinifurahisha..
 
...najua kabisa mpenzi wangu niko moyoni kwako, nikienda kutembea nje naacha koti, kama bosi vile. Nawe uko moyoni kwangu hupotezi ladha kama ukwaju
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4]
 
..anko wangu alikuwa anachekea nini? Kilichomfanya acheke ni nini? Mbona mimi ninakuwaga wa mwisho kujua vitu humu ndani ilhali ninaishu humu humu jamani!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ngoja aje akujibu
 
Reactions: Obe
...usihamaki mpendwa wangu. Tutaenda Zanzibar na ni lazima tupande pantoni, hapo nilikuwa namaanisha mimi na wewe tunaenda Znz kwa pantoni ya Azam
[emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji4] [emoji106]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…