makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 35,866
- 104,053
Unayosema ni kweli lakin japo nakuona unaropoka kama chizi..Jichunguze akilini kwako nn kinakutatiza then ujaribu kukipotezea
Ukiwa na msongo Wa mawazo inaweza kupelekea ukakosa usingizi
Na hatimaye ubongo wako utachoka coz utakuwa hauna muda Wa kupumzika
Na hapo sasa ndipo utakapoanza kuongea pumba![]()
![]()
Na kuanza kujiuliza"kulikoni"
Usingizi ni muhimu kwa afya yako


