Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,058
Nilimtani tuu mkuu.Shedede alisema mkuu ukakataa, au haikuwa j2 ile mkuu
Nilimtani tuu mkuu.Shedede alisema mkuu ukakataa, au haikuwa j2 ile mkuu
Kunywa piritoniOnly 3 hrs nmeamka sijui nna tatzo gani makaveli mimi.
Acha unaa...MTU mwenyewe mpaka shuka ya baba![]()
![]()
We unajuaje shuka ya baba, au ni side chick wake nin a.k.a mpango wa kando..MTU mwenyewe mpaka shuka ya baba![]()
![]()

Nahofia ntazaa tatzo jingine.Kunywa piritoni
Hapo sawa..Nilimtani tuu mkuu.
Nawe piaJ4 njema kwenu wote
Mzaramu huyu wa msangangongelaNamuona tu
Kwani hajui aliko? Asijishaue hapaaAiseee mnasikia IGP Siro anasema kwamba anamtafuta mange kimambi
Tumzoee tuu.. mie hanipi tabu ndio miez yake hii, fuse zinakata kidogoMwanako huyu mbona kama anatutafuta ya moyoni

![]()
![]()
afu ukishasoma magazeti unathepaa unavizia kesho tenaaaa
Mnaanza kuumbuana sasaAcha unaa...
MTU mwenyewe mpaka shuka ya baba![]()
![]()
Chief umesemaje apo ?We unajuaje shuka ya baba, au ni side chick wake nin a.k.a mpango wa kando..![]()
![]()
![]()
Natamani kujua balaa lakeMzaramu huyu wa msangangongela
Tumzoee tuu.. mie hanipi tabu ndio miez yake hii, fuse zinakata kidogo![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
sikujua