Hakika kabisa, hatuna budu kumshukuruJ4 nyingine Mungu katuonesha
Ndio nakuja hiviShululu ukija na font ferd nitag
Sina uhakikaHalaf naskia mchiz jicho lake moja ni bovu
Fanya hivoDuh.. nna mblanket wangu huo km kilo 10 hv, ngoja nikauvurumue kwenye kiroba
Kweli kabisaDuh!! Siku zake zilikuwa bado huyo
Asante kwa neno mamaZaburi 131
1 BWANA, moyo wangu hauna kiburi, Wala macho yangu hayainuki. Wala sijishughulishi na mambo makuu, Wala na mambo yashindayo nguvu zangu.
2 Hakika nimeituliza nafsi yangu, Na kuinyamazisha. Kama mtoto aliyeachishwa Kifuani mwa mama yake; Kama mtoto aliyeachishwa, Ndivyo roho yangu ilivyo kwangu.
3 Ee Israeli, umtarajie BWANA, Tangu leo na hata milele.
MBARIKIWE![]()
![]()
Uko poa mkuu?Hakika kabisa, hatuna budu kumshukuru