makaveli10
JF-Expert Member
- Mar 27, 2013
- 35,862
- 104,027
Halaf atakuja kukana.. hbd mkuu transcendHappy born-date Transcend , wewe ni mtu mzuri na KF iko poa kwa sababu u sehemu yake
Halaf atakuja kukana.. hbd mkuu transcendHappy born-date Transcend , wewe ni mtu mzuri na KF iko poa kwa sababu u sehemu yake
Halaf naskia mchiz jicho lake moja ni bovu
Duh.. nna mblanket wangu huo km kilo 10 hv, ngoja nikauvurumue kwenye kiroba
I love dolphins
Duh!! Siku zake zilikuwa bado huyo
Zaburi 131

AmenZaburi 131
1 BWANA, moyo wangu hauna kiburi, Wala macho yangu hayainuki. Wala sijishughulishi na mambo makuu, Wala na mambo yashindayo nguvu zangu.
2 Hakika nimeituliza nafsi yangu, Na kuinyamazisha. Kama mtoto aliyeachishwa Kifuani mwa mama yake; Kama mtoto aliyeachishwa, Ndivyo roho yangu ilivyo kwangu.
3 Ee Israeli, umtarajie BWANA, Tangu leo na hata milele.
MBARIKIWE![]()
![]()