Kuna siku kwenye lipantoniiii la uko kwenu nilikaa na wewe karibu kama nilisikia unamcall swty potato wakat muunganiko wake ndo unatengeneza kiepe buku jeba
muongo wewe kwanza mie sina goma, mama kanikataza michezo hyo, muulize shunie,we jamaa ni muongo, halaf pale huwa sipandi pantoni, huwa navuka kwa kuogelea...