BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]We mwali weye wanisaka la rohoni, maana la kooni ushalipata..
Kaushaaa[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41] viporo vyako nashindwa kukujibu
[emoji1] [emoji1] hongereniEehh.. bhana tulitoboa.
Usimsifie hiyo sio tabia mzuri[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] kidume
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Bora wewe madam obe, mwalimu wa kiswahili toka uzaramon primary school umueleweshe, maana ni mbishi km ngozi ya tako..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]We chendu nin.. unakurupuka kama ulikuwa unajisaidia porin ukatokewa na kobra ghafla..[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Sijamuita yeye.. mr lover lover ni a.k.a ya shaggy.. nyama wee
Nimewashangaza..Kunguni usiku wamekushangaa au umewashangaza chief??
Na mie naombeni mnitumie jaamaani[emoji134] [emoji134][emoji124] [emoji124] [emoji124]
Halafu mke mweee nmetumiwa hadithi nmeambiwa nkutumie na ww hebu npe utaratibu nitimize masharti mie
Hyo anayokukaushia, Akufungie au unakula hapa hapa.. unaweka kila kitu, tomato, chili,salad na pilipili[emoji60]Kaushaaa
Ahsanteni..[emoji1] [emoji1] hongereni
Kwenda huko, uaminifu ndio kabila gani, nioneshe mwaminifu, we mwenyewe mpango wa kando wapo kama 7 hiv, unapiga cr7.Usimsifie hiyo sio tabia mzuri
Inatakiwa awe na mmoja muaminifu
Wee usicheke mwenyewe kanunaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
AsanteeDomo kama ufudu
Labda avimbe na apasuke, ndio tutaacha kucheka, maana tena huo utakuwa msiba, atakuwa amekufilia mbali[emoji23] [emoji23]Wee usicheke mwenyewe kanunaa
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Au ndio jibu la mjinga.... .[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] obe wangu sio babu kwa kweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hivi mbona umefanana na binamu obe vituko vyenu halaf msikute nyie watu ni mababu hizi I'd fake na avatar zinaficha mengi sana
[emoji57] [emoji57] [emoji57]Live nakwambia, kama ningekuwa mtoto wa kike na mzaramo kama husna nasubri kuchezwa ngoma..[emoji23] [emoji23]
Ongera sanaNimewashangaza..
Loh!Yupo hapa kalala hoi.. kasema poo!!
Namsubiri alfajiri alfajir.. nikandamize vi3 vya mkwezi.. kimoja bafuni, kimoja kwa kiti na lastly kwa bed..[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125]