nenda entertainment huko tivuuu kashusha vitu halaf kuna nyingine nyingi nyingi

![]()
![]()
![]()
Halafu mke mweee nmetumiwa hadithi nmeambiwa nkutumie na ww hebu npe utaratibu nitimize masharti mie
na nanii huyo mke mwee ebu mtumie pm shem wangu Lyon empire ataniletea
Entertainment kupo mwaaah
Nakata mbuno tu shemeji yangu..![]()
![]()
![]()
kidume

Kata makaaaa bunooo watembezeee tu bunooooNakata mbuno tu shemeji yangu..![]()
![]()
Kama pesa za kusifika sina, nguvu za john cena niwe mbabe kitaa sina, nifanyaje zaid ya kukata mbuno.. naupa ukoo heshima![]()
![]()




Domo kama ufudu
Salama shemeji.. vipi hali shem lake..Hbr ya wkend
Hi shunie.. how iz wewe mamie..Hi maka![]()
Ewaaaaaaa kumbe unanijua makaAu ndio jibu la mjinga.... .![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Sawa mke mweee![]()
![]()
na nanii huyo mke mwee ebu mtumie pm shem wangu Lyon empire ataniletea
Am good maka hofu kwako wewe apoHi shunie.. how iz wewe mamie..
Wewe naeKata makaaaa bunooo watembezeee tu bunoooo![]()
Thnx mamaa maandiko..ZABURI 91
5.Hutaogopa hofu ya usiku,wala mshale urukao mchana.
6.Wala tauni ipitayo gizani wala uele uharibuo adhuhuri.
MUNGU AWABARIKI MLINDWE NA DAMU YA YESU USIKU MWEMA...![]()
Veeep nimefanyaje na wewe unataka akuleteeWewe nae
Na vitendo jamaanThnx mamaa maandiko..
Mwenyezi Mungu anajaalia shemeji akeSalama shemeji.. vipi hali shem lake..