Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,054
- 463,971
Sawa shem kwaiyo jumamosi imepitahahahahaha wee tutaongea vizurii uzurii kitu cha uber fasta
Sawa shem kwaiyo jumamosi imepitahahahahaha wee tutaongea vizurii uzurii kitu cha uber fasta
We binamu jaman leo unakana maneno yako ukiwa na mpendwa wako unamkana sana mama jaman tumosa ukuje ujionee....lini nilimkataa ? Mbona unapenda sana kuniharibia wewe, hivi wewe ni ndugu yangu au gundu langu?
.Weekend ndiyo jumapili au![]()
mana kama jumamosi ujue jumapili nitashindwa kwenda kanisani halaf nitagombana sana na baba d kwa kutokwenda kanisani au
ilipitaa tangiaa juziiSawa shem kwaiyo jumamosi imepita
Kwahiyo hao wakina zuhura unawajua kumbe
Ahahhaha mbona taarifa nilikua sinailipitaa tangiaa juzii
Mfyuuuu ebu niachie baba d mie uchizi wenu mkiwa wote nikiwa nae anasimama kama baba bora na mume bora.
...ha ahahhahahaha, ngoja nicheke au nimtag anko! Yaani anko na kanisa ni kama wali na mlenda
Binamu Mungu anakuona ujue....asiwajue kwani kipofu? Zuhura mwenyewe alimtafutia mdada kama kifumbamdomo
....kunywa tu, alikuficha yaani anaogelea kama samaki tena akiwa pale samakisamaki ndo utaona anavyokata maji akiwa na wapenzi watazamaji waliovaa vimini vya vitengehalaf baba d alinambia unakunywa
nakunywaa ndio kwani siku ile si maji niliyanywaa au hukumbukiiihalaf baba d alinambia unakunywa
hahahahaha wee tutaongea vizurii uzurii kitu cha uber fasta
....kunywa tu, alikuficha yaani anaogelea kama samaki tena akiwa pale samakisamaki ndo utaona anavyokata maji akiwa na wapenzi watazamaji waliovaa vimini vya vitenge





mama yangu humpatiiiii baki na mpendwa wako tu
Kunywaaa beer buananakunywaa ndio kwani siku ile si maji niliyanywaa au hukumbukiii
ankoo unanitafutia kesii kwa shemekiii....asiwajue kwani kipofu? Zuhura mwenyewe alimtafutia mdada kama kifumbamdomo
Umechukuliwa au umekuja mwenyewesalaam kwenu wapendwa
Kila siku kujifanya wa mwisho si uingie hata Google au mtwara hakuna......Uber ndo nini?
Eti shem ni kweliankoo unanitafutia kesii kwa shemekiii
jamani ila tuliongeaa na kupanga au ulikuwa ushakuwa poa ?Ahahhaha mbona taarifa nilikua sina
Karibu malawiMaisha ya kibongo yamenichosha
We binamu jaman leo unakana maneno yako ukiwa na mpendwa wako unamkana sana mama jaman tumosa ukuje ujionee