Makapuku Forum

Makapuku Forum

[emoji524]Zaburi 126

1 BWANA alipowarejeza mateka wa Sayuni, Tulikuwa kama waotao ndoto.

2 Ndipo kinywa chetu kilipojaa kicheko, Na ulimi wetu kelele za furaha. Ndipo waliposema katika mataifa, BWANA amewatendea mambo makuu.

3 BWANA alitutendea mambo makuu, Tulikuwa tukifurahi.

4 Ee BWANA, uwarejeze watu wetu waliofungwa, Kama vijito vya Kusini.


WIKI NJEMA,JUMATATU NJEMA SIKU NJEMA MBARIKIWE[emoji120]
[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Back
Top Bottom