Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
SalamaaMarhabaa mjukuu mwee... Za jumapili?
Mmeanza eeh?Tununu kalumbu
Nimekuuliza kwa kuwa kahawa ni zao linalimwa sehemu kama tatu pakupelekwa najua ni moshi lakini unaweza ukawa unataka upeleke ulaya mwenyeweYaani Mmbeya halafu hujui kwamba mbeya produces one of the best flavored coffee in the world.?
Ndaga gwee umsugu utushishe kumbomboTununu kalumbu
Wee mzee una nini na lugha yetuMmeanza eeh?
Nzuri sana.... Sounds typical BantuWee mzee una nini na lugha yetu
Ngoja nikae kimya mzee hewa maana nilitaka kuchochea moto kwa mjukuu wako wa breaNzuri sana.... Sounds typical Bantu
Ndiooo kama kama unaweza karibu naweMmeanza eeh?
Eeeeh kaka mpaka pakilabhoNdaga gwee umsugu utushishe kumbombo
Ngoja nikae kimya mzee hewa maana nilitaka kuchochea moto kwa mjukuu wako wa brea

Atanyimenye anga achimenye ngali asekileNdiooo kama kama unaweza karibu nawe
Po ndaga bhabhomba mbombo twi bhakwishamba tukujakata nutweEeeeh kaka mpaka pakilabho
Hao tunaheshimiana...wananipenda... Wananianika asubuhi... Wananibandikia maji ya motoNgoja nikae kimya mzee hewa maana nilitaka kuchochea moto kwa mjukuu wako wa brea



Sawa ila naona unatumia kale kamsemo kanako sema uzee dawa. Maana hamchelewi kuwambia wajukuu zenu bibi yako hayupo njoo ulale huku naogopa peke yanguHao tunaheshimiana...wananipenda... Wananianika asubuhi... Wananibandikia maji ya moto![]()
Usiogope....... Yaani wewe ni wale wanaomini kwamba mjukuu...ha ha ha ha ha.... Mimi nafuata maadili bwana.Sawa ila naona unatumia kale kamsemo kanako sema uzee dawa. Maana hamchelewi kuwambia wajukuu zenu bibi yako hayupo njoo ulale huku naogopa peke yangu
Natania tu
Maadili kama yapi ?Usiogope....... Yaani wewe ni wale wanaomini kwamba mjukuu...ha ha ha ha ha.... Mimi nafuata maadili bwana.
Habar yakoMakapuku